Pupy for sale

kingtz

Member
Oct 24, 2011
36
3
Nauza mtoto wa mbwa( pupy)
Pupy breed : mchanganyiko wa germarn sephard na Goldenretriever
pupy colour :white
pupy age 78 days
sex: female

Kabila la mama germarn shephard black
kabila la baba golgen retriever white
bei ya pupy ni laki 450,000 / = tu.
unaweza kuasiliana na mimi mwenyewe kwa no 0754479518
picha inakuja soon
hilo file pia lina picha for mo info you can contact
 

Attachments

  • dog.jpg
    dog.jpg
    1.9 MB · Views: 145
  • pupy for sale.pdf
    378 KB · Views: 119
vijana wapenda mbwa kazi kwenu detail zote mmepewa picha na kila kitu .
ila hio bei ni sawa kwa wataalamu wa mbwa????
 
Mmh! Ngoja nimuulize hawa mbwa wa jirani yangu (getini kwake kaandika MBWA WAKALI, Bisha Hodi) ni kabila gani, maana naona wanazunguka tu hapa mtaani, na usiku wanatusaidia kufukuza vibaka.
Na hapo kwenye bei (450,000/=!!! kweli, hii si tgsD1!) anategua mabomu huyu, au anakamata wachawi???
 
mbwa wanatofauTIANA SANA HII JAMII NI NZURI SANA KWA KUWAFUNDISHA NA KUELEWA KWA HIO UKIWA NA JAMII HII HUNA WASIWASI WALIKUWA 7 AMEBAKIA HUYO TU.
 
du mbwa bei yake km ya ndama wa ng'ombe wa maziwa!

huyu ukiwa nae hawezi geuka kuwa mbwa koko?
 
kunakipindi nilikuwa natafuta mbwa nikaenda kuulizia knyama pale victoria bei waliyo nipa wale vijana pale nilikoma
mbwa koko wanasema laki mbili ukiuliza breed gani anakuambia wa kizungu
 
Mkuu bei ni kubwa sana mbwa wa miezi miwili na siku 18 laki nne na nusu na kunyonya bado ajamaliza sasa ukimfuga kwa miezi 5 hadi 6 siutauza milioni.ushampatia chanjo au mbwa wako analo kadi la clinic usijekuta nawewe ni shanta coz hiyo bei ni mbwa wa miez zaidi ya 6
 
mbwa amepatiwa njanyo yake ya kwanza ya pili bado hajapati la atapatiwa next week kama kama dakitari wake atakuwepo .

kuhusu kadi usiwe na shaka anayo;
 
I can get you a pure germany shepherd puppy for 350,000 tshs.
 
mbwa kuanzia miezi miwili anaweza ishi bila kunyonya bila tatizo lolote huyo babayake nlimuagiza akiwa na siku 45 kama mwezi na nusu naameishi vizuri mpaka leo ana miaka 7 yenye stori nyingi nzuri na zakutisha kwa vibaka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom