Amejitambua now, kutoka huko kunahitaji nguvu za ziada. Ni kama sembe hiyoYap sasa huyu alipitiliza
Kuna kasumba kuwa chaputa hawawezi kuzalisha kutoka na tatizo kama langu. Sio kweli, yaani uume ukisimama na Mbegu zikafika basi mimba hutokea.hahahahahahaaa......mkeoa umefanikiwa kumjaza?
Acha mkuu,inawezekanaYaani hapa ni jiwe gizani
Hongera mkuu, mimi bado sijaacha hata jana nilifumaniwa kabisa na bro nikiwa ulingoni
Hapana mkuu ila nilikuwa najiuliza huyo Mwenyekiti yukojeSio ulikuwa unataman uenyekiti. Ni kuwa mwenyekiti alikuwa anakuogopa
Kwanza blog yenyewe siikumbi maana ni muda mrefu nilisoma ila nikawa nimeelewa kidogo kichwani nikaanza. Kiufupi nilitaka tiba bila madawa.Hongera
Ila unge highlights aina ya mazoezi unayofanya mkuu
Asante mkuu ila alinisababishia for sure.mkuu hongera umepona ila acha umalaya tulia na mkeo
Kweli mkuu nilifika pabaya ila najua wapo wengi pia humu ambao natamani waacheHadi kwenye daladala? Kweli ulifikia hatua mbaya
Mkuu nimetubu na kuacha, sitarudi halafu unanikosea heshima kunifananisha na lipumbaAtarudi tu kundini, kama Lipumba alivyofanya kwa CUF
Asante, ila nakwambia kuwa punyeto inasababisha misuli kulegea. Kuna kipindi shahawa zilikuwa zinatoka zenyewe mkuu.Mtoa mada hukupona tatizo la kusimamisha kwa sababu ya tiba uliyosema bali kwa kuwa uliamua kwa dhati kuwa unahitaji na ukaamin hivyo.
Tatizo la kupata shida kusimamisha au kuendelea kusimamisha pindi mtu anayepiga nyeto kupindukia liko kichwani zaidi kuliko kuwa physical iilness.
Google Erectile dysfunction ndio utagundua kuwa Punyeto haijatajwa kama sababu mojawapo wala risk ya kupata erectile dysfunction, inatajwa kijumla katika kundi la psychological causes. Unaweza pia kutafuta The Truth About 8 Masturbation Myths.
Hili sio suala la ubishi maana nikikwambia nataka ulete mtu halafu akupe majibu utaona nakukwaza ila nimepona nawe unaweza kupona piaWee bado hujapona
Nimeisahau mkuu ila nimeijibu page 2&3mkuu unge weka hapa kla kitu kwa msaada wa wote hio blog na mazoez hayo kuondoa maswali
Kwanza blog yenyewe siikumbi maana ni muda mrefu nilisoma ila nikawa nimeelewa kidogo kichwani nikaanza. Kiufupi nilitaka tiba bila madawa.mkuu unge weka hapa kla kitu kwa msaada wa wote hio blog na mazoez hayo kuondoa maswali
Hahahah mkuu ni kwa ajili ya kuthibitisha ubora na viwango tuUmeandika story ndefu, kumbe unataka mbunye ya kutoka humu JF [emoji3]