BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia .
Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Leo nitaongelea Hasara za kujichua au kujichezea kwa mwanaume.
HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi.
Athari kubwa ya kupiga puri ni kuwa hupunguza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na mtumwa wa pombe.
2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).
Hii inatokana na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia kama kupizi mapema.
3.Humfanya mwanaume ashindwe kurudia ROUND YA PILI NA KUENDELEA....
Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round tatu mfululiza hapo hapo....Kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza kupiga round moja tu,tena fasta,ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na mpenzi wako.
Amini au usiamini.Ukweli ni kwaba hutaweza kurudia round kaka!!!...Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.
4.Humfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kujichua.
Athari nyingine ya kujichua ni kuwa humfanya mwanaume awe mtumwa.Kama alizoea kupiga puri wakati wa kulala,au asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku....Haijalishi yuko wapi.Hata angekuwa na wenzake,ni lazima atakimbilia hata chooni ili mradi afanye hivyo.
5.Humfanya mwanaume ashindwe kabisa kutoa bao.
Hii hutokea kwa mwanaume aliyezoea kupiga puri kwa miaka kadhaa.
Jamani,nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa VIDOLE ni tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa mwanamke.Kwanza ni vigumu na havina maji maji.Hali hii humfanya mwanaume ashindwe kupizi au kusimamisha, na hilo ni tatizo.
Sasa inapotokea ukafanya mapenzi live baada ya kutoka katika kipindi kirefu cha kupiga puri,mwili hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.
6 Ni rahisi kupatwa na maradhi kama KANSA YA KORODANI.Kwa kitaalamu inaitwa PROSTATE CANCER.
Gonjwa hili hushambulia mirija ya chini ya uume na huufanya mkojo kuwa na mrundikano mwingi wa damu.
Hili somo huwa halichuji?
Kuna hili na la sehemu za kumpagawisha mwanamke, tumeshasoma, tukafanya mitihani, tukafaulu theory kwa kiwango hatarishi, tukafeli practical sana. Bado tunahitaji theory? Tuwekeeni maabara tufanye mazowezi, tumechoka kuimbishwa bure bure tu.
Kama sauti hata kasuku anayo.
Hivi mnaposema kushindwa
kurudia mara ya pili huwa mnamaanisha nn? Kwamba mtu anaunganisha b.ao
zote kma punda au ni wastani wa muda wa kupumzika? Maana msijekua
mnakomoana ati!
baelezee mutoa mada,haeleweki kabisa,cjui xperience yake anaichukulia kwake au kafanya utafiti sehemu,yaani sound nyiingi wakati mi ili nimgonge dem wang hata goli 3 puchu lazima
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia .
Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Leo nitaongelea Hasara za kujichua au kujichezea kwa mwanaume.
HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi.
Athari kubwa ya kupiga puri ni kuwa hupunguza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na mtumwa wa pombe.
2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).
Hii inatokana na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia kama kupizi mapema.
3.Humfanya mwanaume ashindwe kurudia ROUND YA PILI NA KUENDELEA....
Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round tatu mfululiza hapo hapo....Kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza kupiga round moja tu,tena fasta,ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na mpenzi wako.
Amini au usiamini.Ukweli ni kwaba hutaweza kurudia round kaka!!!...Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.
4.Humfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kujichua.
Athari nyingine ya kujichua ni kuwa humfanya mwanaume awe mtumwa.Kama alizoea kupiga puri wakati wa kulala,au asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku....Haijalishi yuko wapi.Hata angekuwa na wenzake,ni lazima atakimbilia hata chooni ili mradi afanye hivyo.
5.Humfanya mwanaume ashindwe kabisa kutoa bao.
Hii hutokea kwa mwanaume aliyezoea kupiga puri kwa miaka kadhaa.
Jamani,nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa VIDOLE ni tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa mwanamke.Kwanza ni vigumu na havina maji maji.Hali hii humfanya mwanaume ashindwe kupizi au kusimamisha, na hilo ni tatizo.
Sasa inapotokea ukafanya mapenzi live baada ya kutoka katika kipindi kirefu cha kupiga puri,mwili hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.
6 Ni rahisi kupatwa na maradhi kama KANSA YA KORODANI.Kwa kitaalamu inaitwa PROSTATE CANCER.
Gonjwa hili hushambulia mirija ya chini ya uume na huufanya mkojo kuwa na mrundikano mwingi wa damu.[/QUOT
safi mzambia kwa kuongeza akili inashidwa fanya maamuzi vizuri mpiga puli anakuwa na mumuuzi mabaya mpaka ufanisi wake hushuka pia anaweza pata matatizo ya macho atashindwa zuia mkojo coz muscle zinalegea uume unalegea coz mishipa ya damu inatanuka sana coz anakuwa anaibana sana hawezi kazi mpake apepewe wengine wakiwa faraga na wenz wao zinagoma kusimama

Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….
Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Leo nitaongelea Hasara za kujichua au kujichezea kwa mwanaume.
HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi.
Athari kubwa ya kupiga puri ni kuwa hupunguza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na mtumwa wa pombe.
2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).
Hii inatokana na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia kama kupizi mapema.
3.Humfanya mwanaume ashindwe kurudia ROUND YA PILI NA KUENDELEA....
Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round tatu mfululiza hapo hapo....Kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza kupiga round moja tu,tena fasta,ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na mpenzi wako.
Amini au usiamini.Ukweli ni kwaba hutaweza kurudia round kaka!!!...Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.
4.Humfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kujichua.
Athari nyingine ya kujichua ni kuwa humfanya mwanaume awe mtumwa.Kama alizoea kupiga puri wakati wa kulala,au asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku....Haijalishi yuko wapi.Hata angekuwa na wenzake,ni lazima atakimbilia hata chooni ili mradi afanye hivyo.
5.Humfanya mwanaume ashindwe kabisa kutoa bao.
Hii hutokea kwa mwanaume aliyezoea kupiga puri kwa miaka kadhaa.
Jamani,nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa VIDOLE ni tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa mwanamke.Kwanza ni vigumu na havina maji maji.Hali hii humfanya mwanaume ashindwe kupizi au kusimamisha, na hilo ni tatizo.
Sasa inapotokea ukafanya mapenzi live baada ya kutoka katika kipindi kirefu cha kupiga puri,mwili hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.
6 Ni rahisi kupatwa na maradhi kama KANSA YA KORODANI.Kwa kitaalamu inaitwa PROSTATE CANCER.
Gonjwa hili hushambulia mirija ya chini ya uume na huufanya mkojo kuwa na mrundikano mwingi wa damu.[/QUOT
safi mzambia kwa kuongeza akili inashidwa fanya maamuzi vizuri mpiga puli anakuwa na mumuuzi mabaya mpaka ufanisi wake hushuka pia anaweza pata matatizo ya macho atashindwa zuia mkojo coz muscle zinalegea uume unalegea coz mishipa ya damu inatanuka sana coz anakuwa anaibana sana hawezi kazi mpake apepewe wengine wakiwa faraga na wenz wao zinagoma kusimama
Hivi mnaposema kushindwa kurudia mara ya pili huwa mnamaanisha nn? Kwamba mtu anaunganisha b.ao zote kma punda au ni wastani wa muda wa kupumzika? Maana msijekua mnakomoana ati!
Haimaanishi kuwa naunga mkono kujichua, mm sio member kabisa ktk hicho kitu na si kizuri. Lkn nikitaka mtoa mada afafanue kuhusu "kuunganisha" na "wastani wa muda wa kusubiri kati ya mshin.do na mshi.ndo", maana hii kucopy material mahali na kupaste humu bila kuujua undani wake sio elimu sahihi
puchu ya nini wakati unae apo mbona mna mambo