Punyeto imeua uume wangu

Unachopitia ni psychological erectile dysfunction. Tatizo lako ni la kisaikolojia tu. Jipe muda. Jiweke mbali na tendo kwa angalau wiki mbili kwanza. Relax, fanya mazoezi, enjoy comedy, movies na burudani nyingine.

Ukirudi kwenye tendo ni vizuri kufanya na mtu unayempenda. Itakuongezea hisia. Jikite kwenye kuchezeana zaidi na uifanye akili yako ifurahie kuchezeana. Usiwe na haraka ya kufanya chochote. Zingatia. Utakuja kutoa ushuhuda hapa. Usifikirie kuhusu udongo wa kongo, pweza, al kasusu wala kingine chochote cha namna hiyo.
 
Kama ni punyeto hii ni uongo, hebu tafuta utibiwe kisaikolojia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…