Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,106
Naombeni msaada Sina haja ya kuongea Sana Ila ukweli uliopo ni kwamba mzigo hausimami kabisa pamoja na yeye kunivulia nguo zote na jitihada zote alizonifanyia Bado mzigo umelala fofofo.
Sina stress Wala depression. Kama Kuna dawa ya kutibu hili tatizo tunaomba msaada.Mengi nimefanya kipindi Cha nyuma ninajutia.
Sina stress Wala depression. Kama Kuna dawa ya kutibu hili tatizo tunaomba msaada.Mengi nimefanya kipindi Cha nyuma ninajutia.