Punguzo la kodi kwa wafanyakazi kiini macho
Bajeti ya Serikali ya mwaka 2013/14 inaonyesha kuwa wafanyakazi wamepunguziwa kodi katika mishahara yao ingawa punguzo lenyewe linaonekana kama kiini macho.
Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali bungeni Dodoma jana, Waziri wa Fedha, William Mgimwa alisema Serikali imependekeza kufanya marekebisho ya Sheria ya Kodi ya Mapato ili kupunguza kodi hiyo.
Waziri Mgimwa alisema Serikali imepunguza kiwango cha chini cha kutoza kodi ya mapato ya ajira kutoka asilimia 14 hadi 13... "Hatua hii inalenga katika kutoa nafuu ya kodi kwa mfanyakazi."
Kwa mujibu wa mapendekezo hayo, viwango vinavyopendekezwa ni ikiwa mfanyakazi anapata jumla ya mapato yasiyozidi Sh2,040,000 kwa mwaka ambayo ni sawa na Sh170,000 kwa mwezi, kiwango cha kodi ni asilimia 0, kwa maana kwamba hatalipa kodi.
Kwa wafanyakazi wenye mapato ya jumla yanayozidi Sh2,040,000 lakini hayazidi Sh4,320,000 sawa na Sh360,000 kwa mwezi kiwango cha kodi atakachokatwa ni asilimia 13 baada ya malipo ya Mfuko wa Jamii ambayo ni nafuu ya isiyozidi Sh1,540.
Kwa wafanyakazi wenye mapato yanayozidi Sh361,000 kuendelea watapata nafuu ya Sh1,900.
Dk Mgimwa hakuzungumzia suala lolote kuhusu kupandishwa kwa mishahara tofauti na kilio cha Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), ambalo katika sherehe za Mei Mosi, mwaka huu zilizofanyika kitaifa mkoani Mbeya, lilipendekeza kima cha chini cha mshahara kiwe Sh740,000 kutokana na kupanda kwa gharama za maisha.
Ni dhihaka hasa.
Nafikiri hatuna haja ya kusubiri kubamizwa marungu kama mabwege wa Mtwara iliyokuwa inaitwa NGOME YA CCM ndio tuamke. Asiyepiga kura 2015 ni ndugu yake na shetani
Chapeni kazi acheni kulia lia, kuna vyama vingi sana vya upinzani viliingia madarakan katika bara la Afrika ukianzia, kenya, burundi, zambia, nigeria, algeria,ghana,n.k lakin maisha ni yale yale , hiko chama chenu kina kitu gan so special kias kwamba kikiingia kitatofautiana na vyama vingine vilivowah kushika dola. Punguzen kulalamika pigen mzigo mbona wengi tu tumeyatoa maisha ndan ya tawala hii hii, mzee ndesa, mbowe na kina mtei mbona wamefanikiwa chin ya sera hizi hizi za CCM!
Nina wasiswasi na IQ yako huenda inamchanganyiko wa vitu vya ajabu sanaChapeni kazi acheni kulia lia, kuna vyama vingi sana vya upinzani viliingia madarakan katika bara la Afrika ukianzia, kenya, burundi, zambia, nigeria, algeria,ghana,n.k lakin maisha ni yale yale , hiko chama chenu kina kitu gan so special kias kwamba kikiingia kitatofautiana na vyama vingine vilivowah kushika dola. Punguzen kulalamika pigen mzigo mbona wengi tu tumeyatoa maisha ndan ya tawala hii hii, mzee ndesa, mbowe na kina mtei mbona wamefanikiwa chin ya sera hizi hizi za CCM!
Chapeni kazi acheni kulia lia, kuna vyama vingi sana vya upinzani viliingia madarakan katika bara la Afrika ukianzia, kenya, burundi, zambia, nigeria, algeria,ghana,n.k lakin maisha ni yale yale , hiko chama chenu kina kitu gan so special kias kwamba kikiingia kitatofautiana na vyama vingine vilivowah kushika dola. Punguzen kulalamika pigen mzigo mbona wengi tu tumeyatoa maisha ndan ya tawala hii hii, mzee ndesa, mbowe na kina mtei mbona wamefanikiwa chin ya sera hizi hizi za CCM!
mkuu..serikali zote duniani zinatoza paye.. Hata kama misamaha ya kodi kwenye madini itafutwa bado paye itaendelea kutozwa kwa viwango vya kulalamikiwa
Chapeni kazi acheni kulia lia, kuna vyama vingi sana vya upinzani viliingia madarakan katika bara la Afrika ukianzia, kenya, burundi, zambia, nigeria, algeria,ghana,n.k lakin maisha ni yale yale , hiko chama chenu kina kitu gan so special kias kwamba kikiingia kitatofautiana na vyama vingine vilivowah kushika dola. Punguzen kulalamika pigen mzigo mbona wengi tu tumeyatoa maisha ndan ya tawala hii hii, mzee ndesa, mbowe na kina mtei mbona wamefanikiwa chin ya sera hizi hizi za CCM!
Mkuu..serikali zote duniani zinatoza PAYE.. Hata kama misamaha ya kodi kwenye madini itafutwa bado Paye itaendelea kutozwa kwa viwango vya kulalamikiwa