Ukiangalia vzur utagundua bei ya piece moja ni kuanzia Tshs50 mpakaTshs 100 kwa suppliers wengi hii itaenda kutuathiri moja kwa moja kwa maana ya kutakiwa kulipia mfuko kila tutapohitajika kuwekewa kifungashio dukani, sokoni n.k tofauti na ilivyo kwa mifuko ya nylon ambayo unit cost yake ilikua ni ndogo sana almost ilikua around Tsh 10 au chini ya hapo