daddys dota
Member
- Nov 21, 2014
- 66
- 4
- Habari zenu ndugu wadau wangu.ninapenda kuwatangazia punguzo la bei kwa 50% kuanzia kesho alhamisi,ijumaa na jumamosi,nguo zilizopo ni kama jam suit,sketi,magauni ya kiofisi,mafupi na marefu,suruali,skin jeans,magauni ya sherehe,n.k
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0659965555 au 0766866683.wote mnakaribishwaaa