kwani wazungu wanakula ugali nao!!???
Waafrika tuna mentality mbaya kwamba ikila kitu kigumu ndio unakuwa na nguvu.
kwani wazungu wanakula ugali nao!!???
waafrika tuna mentality mbaya kwamba ikila kitu kigumu ndio unakuwa na nguvu.
sembe yenye makapi ikoje wadau??
mi najua dona ndo mpango mzima....
Kukariri sio ishu, alokuambia dakika 4 haziridhishi nani?
kwamwanaume anapotoa mbegu ndo karidhika.
Ila inavyodhania kwa mwanamke eti mpaka usugue sana,hata nusu saa,kweli ama ni löngolongo?
Kukariri sio ishu, alokuambia dakika 4 haziridhishi nani?
Hahahahaaaaaa, nimemuona rafiki yangu Excel anapiga ngunga! Mhala sana omayu!
hahahaaaaa!! mkuu baada ya hapo naelekea machungani kulaleki masaa 12 porini!!!
mla viepe hawezi mziki wa kuchunga ng'ombe 2000 aisee!!
hapa yani natakiwa nipewe na kidum cha maziwa mgaando kabisaaaa!!
baada ya hapo, naelekea masabha kuchunga!!
hapa ndo nyumbani wadau...!!!
Mkuu mbona sioni katambuga zako pamoja na 'ng'home' yako?
viko kwa mama bhoke anavifanyia preparation bhana!!!
ngoja bhatae ntaku PM maziwa ya ng'ombe fresh kabisa na ww ufurahieeee!!! arrraaaaaa!!!
Teh teh teh teh teh teh teh, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!?? Obheja sana!
Si ndo hapo sasa au ukweni unazunguka tu nyuma ya nyumbaHawazijuagi zile za kwenye lift!
Muda wote huo? Namdeku tu?umeongea point sana kumbe ww unaweza kumfanya mwanaume aonekane mjuzi kumbe ni ushiriki wako......... Mtu anakariri na kujisifia kuwa nmemgonga dem bao nane na kila bao nmetumia dakika40, pasipo kujiuluza je mwenzang ameridhika?!