Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,464
- 24,318

KINYWAJI KITACHOFANYA UONE
TUMBO LIKIPOTEA NDANI YA
WIKI MOJA
Chukua jagi kubwa na weka
vifuatavyo:
1. Maji na slice za:
2. Matango yaliyokatwakatwa
3. Malimao au Ndimu
4. Mdalasini
5. Tangawizi au Manjano ukiweza
kupata
6. Majani ya mint (ukipata)
Weka mchanganyiko kwenye friji
na tumia kama maji ya kawaida.
Ukipenda maji yakiisha weka maji
mapya, ila ni vizuri zaidi ukila
hayo matunda na kuweka mengine
fresh. Ukiachana na kuondoa
mafuta ya tumbo, mchanganyiko
huu ni mzuri kwa kuondoa sumu
mwilini. Kama ladha unaiona kali
sana, ruksa kuongeza kijiko cha
asali.