Punguza mazoea kazini

Usipende kunyenyekea kupitiliza.
Usipende vinyanya mshenzi kazini au vipochi manyoya.
Kua buys na kazi iliyo kupeleka mengine wacha yakupite.
Usipende kulolosoka kama umekula ulanzi wa magimbi.
Mengine mtajazia wakuu nawai kilingen kurusha makombola ya masafa marefu.
 
Mimi nasema punguza mazoea ya kimamlaka,jana sio leo wala juzi sio jana,ona yanaenda kuwatokea puani hivi punde!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…