Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed
Mara nyingi maumivu au depression inawafika wengi wenye matarijio makubwa, (hata kwenye urafiki na mahusiano).
Kwanini utegemee kupata wakati kukosa pia kupo; utegemee mtu wakati watu wana mapungufu.
Nadhani usipotegemea kupata, ukipata inakuwa ni Bonus.., na ukitendwa utasamehe, hata usiposamehe ukifanyiwa Jema utashukuru zaidi sababu hukutegemea.
Sisemi don't trust people, lakini imperfections is what makes us perfect.
"As A man thnketh in his heart SO HE IZ".............
"AOGOPALO MTU MWOVU NDILO HUMJIA"...Proverbs
It is almost impossible kutotegemea kupata katika mambo uliyowekeza nguvu, muda, mali kwa sababu msingi wa kuwekeza huko ni kupata sio kucheza pata potea
Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed
Mara nyingi maumivu au depression inawafika wengi wenye matarijio makubwa, (hata kwenye urafiki na mahusiano).
Kwanini utegemee kupata wakati kukosa pia kupo; utegemee mtu wakati watu wana mapungufu.
Nadhani usipotegemea kupata, ukipata inakuwa ni Bonus.., na ukitendwa utasamehe, hata usiposamehe ukifanyiwa Jema utashukuru zaidi sababu hukutegemea.
Sisemi don't trust people, lakini imperfections is what makes us perfect.
Nadhani kwenye mambo ya biashara, kuwekeza n.k. (expect the unexpected hence having plan B) iwapo ulichotaka hakitatokea..
Kwa binadamu, expect disappointments sababu one thing for certain people always let you down (ukifahamu hilo basi siku ikitokea hautashangaa, na utakuwa mwepesi kusamehe). Na unapotenda wema nenda zako usingoje wala kutegemea kurudishiwa
Kwenye mahusiano ndio kabisa.., ukiweka viwango vya juu sana au ukitegemea mtu akurudishie mema, au akupe kitu fulani unaweza ukawamtu wa kulalama kwenye nyumba kila siku
Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed
Mara nyingi maumivu au depression inawafika wengi wenye matarijio makubwa, (hata kwenye urafiki na mahusiano).
Kwanini utegemee kupata wakati kukosa pia kupo; utegemee mtu wakati watu wana mapungufu.
Nadhani usipotegemea kupata, ukipata inakuwa ni Bonus.., na ukitendwa utasamehe, hata usiposamehe ukifanyiwa Jema utashukuru zaidi sababu hukutegemea.
Sisemi don't trust people, lakini imperfections is what makes us perfect.
Smile, mi nawaamini nyoka tu, najua hao hawana masihara, lazima wakung'ate ndio mwende sambambausimwamini mtu yoyote duniani.... basi
Kweli kabisa ila kuna wengine wanawekeza 100% kwamba haiwezekani kabisa kukosa hivyo siku wakikosa linakuwa pigo kubwaHaving a plan B haimaanishi kuwa hukutarajia kupata.
Kweli pia ila kuna tofauti unapotegemea kabisa kwamba fulani hawezi kunisaliti, au mwanangu hawezi kuiba, au fulani hawezi kunidhulumu au kunidanganya. Lakini ukitegemea kwamba ni kawaida ya binadamu kudanganya, kudhulumu na kusaliti nadhani haitakuja kama a shock.., ofcourse utaumia sababu hata ukijua sehemu fulani kuna miba utavaa viatu ingawa kama mwiba ni mkubwa sana bado utapenya lakini itakuwa afadhali kuliko ungekwenda pekuNa hata kwa binaadamu waliokaribu na sisi, tunawekeza hisia, muda, na hata mapato kwa wale tuwapendao, kwa hiyo kutarajia na wewe utapata ni kawaida sana.
Huwezi mtu ukaanza mahusiano na mtu kwa mfano, ukawa ushaweka na Plan B
Labda tujifunze njia ya ku-move on usipopata, ila kusema mtu asitarajie kupata ni ngumu mno
Binafsi siwezi
Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed
Mara nyingi maumivu au depression inawafika wengi wenye matarijio makubwa, (hata kwenye urafiki na mahusiano).
Kwanini utegemee kupata wakati kukosa pia kupo; utegemee mtu wakati watu wana mapungufu.
Nadhani usipotegemea kupata, ukipata inakuwa ni Bonus.., na ukitendwa utasamehe, hata usiposamehe ukifanyiwa Jema utashukuru zaidi sababu hukutegemea.
Sisemi don't trust people, lakini imperfections is what makes us perfect.
Sijasema usitegemee kitu, bali punguza matarajio.., (lower your expectations) ofcourse nikipenda mtu nategemea kitu fulani (the good feeling inside) na kila ninapokuwa nae companionship yake ni furaha.., ila haimaanishi kwamba kesho hawezi kunikwaza au kuniumiza (intentionally au unintentionally), I expect and I know ninaishi na binadamu sio malaika (kumbuka people let even themselves down, ije kuwa mtu mwingine ?)Utaishije na mtu bila kuwa na mategemeo fulani, there are expectations whenever u decide to be with someone, kinachotakiwa(nadhani) ni kutoweka 100% hope kwa sababu binadamu tunadisappoint sana.
Actually you have got it wrong.., Love is to Give not to Receive.., Give and Take hio ni business you give in order to take sio giving because giving makes you happy (even if you don't receive)Love is give and take, so if you give obviously you have expectations..TO TAKE!
Sijasema usitegemee kitu, bali punguza matarajio.., (lower your expectations) ofcourse nikipenda mtu nategemea kitu fulani (the good feeling inside) na kila ninapokuwa nae companionship yake ni furaha.., ila haimaanishi kwamba kesho hawezi kunikwaza au kuniumiza (intentionally au unintentionally), I expect and I know ninaishi na binadamu sio malaika (kumbuka people let even themselves down, ije kuwa mtu mwingine ?)
Actually you have got it wrong.., Love is to Give not to Receive.., Give and Take hio ni business you give in order to take sio giving because giving makes you happy (even if you don't receive)
Man, i don't think it's so easy to be with someone and lower expectations, when you give affection to someone it's obvious that you expect the same, and if it happens that you are treated differently, you won't be happy.At the end of the day conflicts begin. Mtu anayependa kwa dhati( achilia mapenzi tulitonayo ya pesa na nini) anafurahi kupendwa pia, asipopendwa anaanza kuwa na wasiwasi na mpenzi wake.
Perhaps i got it wrong but as far as i understand, when we give(in love) WE EXPECT SOMETHING IN RETURN...IF WE DON'T GET/RECEIVE IT...OH, YOU AND I KNOW WHAT'S NEXT
Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed
Mara nyingi maumivu au depression inawafika wengi wenye matarijio makubwa, (hata kwenye urafiki na mahusiano).
Kwanini utegemee kupata wakati kukosa pia kupo; utegemee mtu wakati watu wana mapungufu.
Nadhani usipotegemea kupata, ukipata inakuwa ni Bonus.., na ukitendwa utasamehe, hata usiposamehe ukifanyiwa Jema utashukuru zaidi sababu hukutegemea.
Sisemi dont trust people, lakini imperfections is what makes us perfect.