Punguza marafiki wa aina hii

Unaweza ukawa na aina zote hizo za marafiki lakini kwakuwa tayari unawatambua wepi ni marafiki wazuri na wepi ni marafiki wabaya itakusaidia kujua ni marafiki gani niwaambie nini na gani nisiwaambie nini. Kwa wale ambao wanaoonekana wanapinga ama kutoamini katika malengo yako bado wanakitu ambacho utajifunza kutoka kwao na vilevile watakuwa chachu ya wewe kuwadhihirishia kwa kufanya kile walichoona huwezi kukifanya.
 
Alhamdulilah! Mungu ananilinda, hofu kwako ndugu
Hofu ondoa mkuu,ni juzi ndio nilikuwa na hali mbaya kiafya,ila kwa neema zake Mwenyezi Mungu naendelea vizuri kiongozi.
 
punguza punguza ...hawafai hao ..nyonya nyonya damu
 
Punguza rafiki ambaye umemkopesha hajakulipa halafu anataka akope tena kwa kufanya umesahahu.!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…