Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Wana social science huwa wanatumia indicators kupima variable flani katika jamii. Mfano kuna indicators za kupima kiwango cha umaskini, indicators za kupima kiwango cha ujinga n.k.
Sasa kama kweli unataka kujua 'ni kwa kiwango gani' Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimengiliwa na siasa, subiri kidogo ufunguzi wa hostel mpya zilizojengwa hivi karibuni, uone zikipewa jina la mwanasiasa.
Kwa miaka mingi, utaratibu wa kutoa majina ya Hostels za chuoni hapo hutumia jina la Halls. Mpaka saa kuna Hall one mpaka Hall seven, na kwa utaratibu huu, hizi hostel mpya zinatakiwa ziitwe Hall eight!
Ila kwa kuwa chuo kimeshatekwa na wana siasa, si ajabu utaratibu huo ukaasiwa na mwisho wa siku zikapewa jina la wanasiasa.
Nawaomba maprofessa na wale wana taaluma wote wa UDSM wapinge utekaji nyara wa chuo, taasisi zake na mazingira yake, kwa kutoruhusu mipangilio na mifumo iliyowekwa hapo kuingliwa na wanasiasa!
Ninawaomba wasimamie kidete kama vile tulivyoziita zile new lecture theater kwa Mwendelezo wa Yombo. Yani Yombo one mpaka sasa Yombo 5!