Punda abakwa na binadamu mpaka kufa

Oopps, pumba kabisaa, kweli dunia imefika ukingoni mazee
 
Nimeamini kuwa haraka haraka haina baraka. Yaani basi tu, kwani baada ya kuona kichwa cha habari nilikimbilia bar ya hapa karibu na kazini ili nione kwenye taarifa ya habari kama kweli Pinda kabakwa na vibaka mpaka kufa, kumbe ni Punda? Dah, yaani niliplan pati ya kufa mtu.
 

Duh! Eti Pinda abakwa!
 
wakenya wamepinda sana.

Kweli...ndani ya kipindi hiki kifupi, kuna akina dada wamefikishwa mahakamani kwa kufanya mapenzi na mpya...mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani kwa kumlawiti kuku mpaka akafariki...sasa punda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…