Punch 101.....(updated)!!!!

Punch 101.....(updated)!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,129
Yeah wakuu, been longtime since we did this na ule uzi tulikua tunafanya kushare punchlines (freestyles) design umekua outdated kidogo hence I thought tunaweza create mpya to show some skills hapa. Enough of the blah-blah, here I go:
#
I leave niggers breathless y'all need a CPR,
Who the *** said am done? This time is horror,
Strategically I done executed my plans,
Faggots and haters welcome to my land mines,
I got that degree of killing and rapping,
intellectual nigger yo hands should be clapping,
My mom raised no fool she would've killed me herself,
I played no toys all I had was a book shelf,
I got a smoking flow with THC in my mind,
Grinding rhymes which leaves y'all blind,
DON ask who coz' lucChese is the name,
And I pray to God; Holy Be thy name! #AmOut
 
Hili ni somo kwa wakinga, wasiogope kuitwa wa kusoma
Daima natumia kinga, hata kama nalala na salama
 
Wengi wana andika /Nikiandika wanatoka nduki kama Dr mwaka

Ivon chaka chaka /nakimbiza hawa paka rapers kibabe mpaka macca

Nimejikita kisawa sawa /flows nyoko zinamkoboa mpaka cheusi dawa

Usisubr nianguke ww nifuate bro/ichi kina kirefu utaloose control

Wambie rizik mafungu saba /wakifunga kwa hirizi mm nafungua kwa msalaba

Pamoja sanaa jf
 
Good
 
English please?
 
Chlorine gas smells like a rotten egg, Niko stimu na sijagusa hata tequila peg, am so natural em niggers lab made, am no smith but u can call me lil jade, one man down, alpha one d'u copy? Nimekomaa kwenye rhymes since era za floppy
 
U better go back to school @donclucches /chlorine gas is tasteless

When you smell me unapata headache/na flues kudadekii

Nawaficha ka kitambaa cha kamasi / shika peni na karatasi

Nikurudishe kwa darasa/flows zako zipigwe msasa
 
Emancipate yourself from mental slavery, suicide in the booth I possess bravery,
Nicca don't u ever test me, this mic these rhymes this is my destiny, na ryt so conscious I leave y'all fuxxkd hard, wwe shit well who's Jeff hard?
 
Time ya Mitindo huru
MMU yote hamia humu/

Humu kupeana nuru
Kule mapenzi yamepanda ushuru/

Thanks bro for thread
And Chunks for thos trends/

Shoraut kwa magangs
This love aren't ends/

atukuzwe maulana
Hali shwari mwanana /

salamu waume kwa wake
bachelors na wenye wake /

Sjawasahau single parents
Wajane, wagane na JF agents /

Mods heshima kwenu
Kiufundi, mnazitawala menu /

Najua lawama zipo nyingi
Ila zinawafunza vitu vingi /

Ni sehemu ya kazi
So msifure kama maandazi! /

Ila memba punguzen ubabe
Hasa Ukali,viburi kama mugabe /

Maudhi ni mabaya
Hasa matusi yawasio na haya /

Zinatuasa za mungu amri
Wengi Hatupo sawa kiumri/

Tuheshimiane, tuvuliane
Ndo tuweze kufika kanane /

Najua mmeniskia
KUelewa hii haihitajiki FIZIKIA /

Pili nyie marapa
Unajua mnanitia shaka!/

Nyie ni malapa au marapa
Coz,Kimistari mpo kapa/

Emc dabo papa
Nakaba stick nachapa/

mititimititi mikikimikiki
Hamkubaliki mi sifunikiki/

Kwenye gameNimestik
mithili chuchu na titi/

Naugonjwa wa lyrics
Nimekonda nimebaki njiti/

Hi ni vita ya dunia
Mi nyukilia we jambia/

Dadadeki aminia
Na ndoto za kuwa bilionea/

Kihivo
 
Sina role ila modal,natinga kama kawa /cna mikogo,na mademu wa vgogo nawameza kama dawa
mnakaa mnawaza vitu anasa/
watu wanaumiza vichwa na vitu vya NASA/
tatizo ni nini? hamna hamasa?/
think small and you'll never become Mufasa.
 
matunzo zero young killer,,
natendea vers bila code za q chilla,,
hira za hip hop ni mzuka na hasira,,
rap ya nature katuni napiga tatu bila,,

itikadi kali kama suni,,
nachana suna coz sitoki tamaduni,,
sina ubabe kwa wahuni,,
kutoa battle adi wawe toi na sabuni,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom