Pumzika kwa amani kada wa CCM, kweli ulitelekezwa

Safi sana. umemuumbua
 
Ni jambo mbaya sana kwa mtu aliye hai kutumia jina la marehemu hasa matatizo ya marehemu tena kwenye media ili kujipatia kiki au sifa za kisiasa.
Haijalishi chama cha marehemu ila vitendo vya hivyo ni vya kinyama hata kama kitafanywa na wafuasi wa CCM, CUF, CDM or whoever!!

Mhere Mwita, nimeishi na wakurya kwenye baadhi ya maeneo hapo Tanzania ila sijawahi kuona tabia kama hii uliyoionesha hapa.

Kwa heshima yako, jamii yako ya kikurya na kumheshimu marehemu waombe tu mods wa JF waufute huu Uzi.

Siyo ungwana kabisa kwa ulichokiandika tena kwa kuweka hadi picha za marehemu mtandaoni.

Hebu jiulize, ndugu wa marehemu wanajisikiaje kuona huu Uzi wako!?
 
Hivi hawa vijana wanafundishwa maadili ya msingi? Ndio ukamanda huu hadi kwenye misiba? Btw hawana muongozo hawa ....kila mtu anaamka na lake na kutupia mitandaoni akifikiri ndio anajenga chama ....
 
Anajitoa ufahamu huyu .... alidhani hatukumbuki ... halafu kajificha uvunguni haonekani ati
 
Big up kiongozi ...... Wanaomuunga mkono na kumpa likes ktk hili .... akili zao na za huyu "kamanda anaetafuta kiki" hazina akili pia
 
Chadema kimenitolea zaidi ya million 10 kuanzia usafiri wa kutoka dodoma mpaka mhimbili matibabu yote mhimbili chakula na vitu vingine.

Baada ya kazi kubwa Chadema iliyonifanyia kama Kiongozi wao baba yangu akaniomba nilirudi nyumbani niliporudi nyumbani.

Ndipo nikaamua kufanya maamuzi ya kutaka kuuza kiwanja changu sio kwa sababu chama kimenitekeza hapana Bali matibabu zaidi ya familia yetu yalikuwa yanahitajika sio kukitegemea chama tu.
 
Hizi habari ni za kweli kwa maana Lumumba book7 wote wanamshambulia mleta mada badala ya kujadili maudhui ya mada yenyewe.
 
Wewe wamekupa milioni 10 tena za masimango kutoka kwa kina Malisa mwenzako Lissu mpaka sasa wamempa shilingi ngapi?
 
Wewe ni kichaa na mwehu...

Si kila kitu ni cha kusema mitandaoni.
 
Wewe ni kichaa na mwehu...

Si kila kitu ni cha kusema mitandaoni.

kuna kilevi utakua umetumia kabla ya kupost
Eehee CCM Bwana ukweli Haswa wanaroho mbaya kweli,mpaka utekeleze ubaya ndio wakusaidie,huko tutakokwenda Mungu mkubwa.
 
Aisee, inaumwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…