habari wakuu!
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21,niliua nasoma shule ya seminary,kipindi nasoma nilikua natabia ya kujichua, ila kwa sasa hiyo tabia sina, lakini baada ya kuacha kujichua,pumbu zangu zinapungua zinakuwa ndogo tofauti na zamani,ila uume wangu upo imara na hauna tatzo kabisa, sasa nilikuwa naomba msaada kuwa je nifanyeje ili pumbu zangu zirudi katika hali yake ya kawaida?