Pull up your trouser, inawaponza watoto wa kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pull up your trouser, inawaponza watoto wa kiume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kashaijabutege, Jan 27, 2011.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Matokeo ya kidato cha nne yanaonyesha wazi kuwa kwa sasa wavulana (wanaume) sasa ni midebwedo kwa watoto wa kike. Katika shule 10 bora, za kike ni saba, kama sijakosea. Aidha katika wanafunzi 10 bora, saba ni wa kike.

  Redio moja imefanya 'kautafiti' na kugundua kuwa suruali za milegezo ni dalili ya kuchoka kwa watoto wa kiume. Wakati mwalimu zamani aliwahimiza watoto waongeze jitihada kwa kusema " pull up your socks", sasa hivi walimu wanasema "pull up your trouser".

  Tunakoelekea kina mama wataanza kulipa mahari ili watumiliki, kama sio kutuoa.

  Nawasilisha.
   
 2. thetowerofbabel

  thetowerofbabel Senior Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 17, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  samahani sijakuelewa unamaanisha shule za siku hizi wanafunzi wengi wa kiume ni mashoga.????
   
 3. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Haya yote yanatokana na kuingiza siasa kwenye elimu. Hawa ndo wale waliondolewa mtihani wa form two sijui baada ya kuondoa huo wa std 7 hali itakuwaje.
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Lakini msiwe na kinyongo sana.... miaka yote tumeitesa hii jinsia wakawa kimya sasa acha na wenyewe watese.... Ila sio mpaka kufikia hatua ya kulipa mahali :twitch:!!!
   
 5. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sijasema ni mashoga. Naongelea suruali kuvaliwa chini ya makalio.
   
 6. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hata mahari watalipa tunakoelekea. It is time now wenye pesa kuwekeza kwenye shule za wavulana kama Feza na Msolwa. Pengo wakati anafungua St. Joseph Millenium school alisema "Hatuwezi kuondoa ubaguzi wa kijinsia kwa kuwabagua watoto wa kiume; hivyo wavulana nao wana haki ya kupata elimu nzuri".
   
 7. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli nakuunga mikono na miguu maana hawa vijana sijui wanaona raha gani kuvaa suruali mlegezo wanaudhi kweli.
  Wanawake wataendelea kuwashinda tu
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tatizo madogo wamekuwa masharobaro siku hizi
   
 9. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Enzi zetu kulikua hakuna Ushalobalo.....tulkua tunapiga buku mpaka wakawa wanatuita majohn kisomo..siku izi mashalobalo wengi akili kichwani hakuna..!!
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Na bado.......waendelee kuuza sura,kuangalia tamthilia na kutongoza ovyo waone......:laugh::laugh:

  bravo my lil sister's who did wonders.........:coffee:
   
 11. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Yamewahi kukutokea?
   
Loading...