Puli Jamani, Puli!

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Leo nimeikumbuka hii nimecheka sana.
Wakati tuko "O-Levo" enzi zile katika shule moja ya sekondari iliyopo kanda ya ziwa, kituko cha aina yake kilitukia siku moja mida ya saa tano baada ya "prepo", tukiwa hatuna hili wala lile tunapiga stori kabla ya kulala mara jamaa wawili wanatokea "ablusheni" wanakimbizana mmoja akiwa uchi wa mnyama huku ameshika picha mkononi, Jamaa kaanza kumshushia kipigo cha mbwa mwizi; Tulivyowaachanisha na kuomba maelezo ya chanzo cha kutaka kutoana roho WATU WALIUMIA MBAVU:
"Huyu jamaa ms***e sana, nimemkuta bafuni ameshika picha ya demu wangu halafu anapiga puli" wahahaaa haha aaaa yehee he bwahaaa hahaaaa teh teh teh
Kweli "Bodingi" sku hizo ilikuwa balaa!
 
sisi hatukuwekewa hayo mafuta ya taa, ila taste ya maharage ya jioni, ilikuwa balaa, layer ya mchuzi wake ilikuwa ya maganda kama vile yalikobolewa na inafuata thick layer ya maji na chini kabisa ndo unakutana na vipande vya tuharage, ukitaste unaweza kuacha shule siku hiyohiyo. yaani!
 
afadhali mimi nilipiga kwa muda mchache tu coz niliwahi kupata demu mapema hivo ilikua burudaaaaaaaaaaaani
 
Ndio maana vijana siku hizi mnagonga KIMOJA tu mnalala doroooo. Kumbe tabia zenu chafu za nyuma sasa majibu yake ndio yanapatikana.

wale wote mliogonga sana PULI secondary. SASA HALI ZENU NADHANI SI NJEMA SANA KITANDANI. Kimoja tu cha jogooo basi mpaka asubuhi.:love:
 
Duh,isije ikawa zile picha nilizokuwa natumia wanaume kwenye shule zao za boys zilileta mzozo,mmmmhh yani level ya secondary wanaume mnakuwa tayari na hizo ny.........za kuwapa shida kiivyo?JF shule,sikujua......LOL
 
Mkuu, seko enzi hizo mbona nyoya tulikuwa tunaingia watu wazima kabisa?!! teh teh, si kama siku hizi form five vitoto vidogo lakini vinatembea na mimama! Lolz
Hizo picha ulikuwa unamtumia nani kama si boifrendi wako?..na wewe ulikuwamo eeh! nakumbuka enzi hizo wajanjawanjanja tulikuwa tunaishi "V.I.P vyumba private watu wanne - stoo teh teh " basi ukuta wote umejaa picha na kadi za warembo, waliokuwa wanalala "wodini" picha za madem wao walikuwa wanabandika kwenye "maloka" yao kwa ndani, ili akifungua tu anakutana nayo....dah! Usishangae huyo jamaa alikuwa anapigia puli hizo picha zako, hasa kama ulikaa mapaja nje! lolz
 
Ndio maana vijana siku hizi mnagonga KIMOJA tu mnalala doroooo. Kumbe tabia zenu chafu za nyuma sasa majibu yake ndio yanapatikana.

wale wote mliogonga sana PULI secondary. SASA HALI ZENU NADHANI SI NJEMA SANA KITANDANI. Kimoja tu cha jogooo basi mpaka asubuhi.:love:

Vijana wa siku hizi hawapigi puli! wanaangalia picha aza ngono...nyg zikiwapanda wanatembea na vihausigeli vya maticha! enzi hizo ilikuwa noma, kuna shule zilikuwa taiti balaa kiasi kwamba siku ya "disko" tu ndy unagusana na mwanamke, tena unapiga cha nguonguo, maana "matroni wao" haishi kupatrol! teh teh Puli watu wamepiga sana, na bado wako fiti mpaka kesho, vijana wa siku hizi naona hata "vihepe" vya kutoka njombe vimetiwa mbolea na madawa ya kuzuia ukungu vinawaathiri!
 
kaka uliza nsumba vs ngaza sec

Mkuu, Nsumba naskia enzi hizo zilikuwa haziivi na Bwiru boys kwa sababu ya warembo wa Nganza! Pale karibu pia kuna shule ya Seminari eeh! Sku hizi "pamevurugwa" na St Augustine!! Good old days!
 
Mkuu, Nsumba naskia enzi hizo zilikuwa haziivi na Bwiru boys kwa sababu ya warembo wa Nganza! Pale karibu pia kuna shule ya Seminari eeh! Sku hizi "pamevurugwa" na St Augustine!! Good old days!

kaka tulikuwa tunatenganishwa na kimlima fulani hivi
nsumba na bwiru boys ilikuwa balaa tukikutana kwenye umiseta lazima polisi wawe karibu
basi kuwakata maini siku za disko tunawaalika bwiru girls............such good old memories
siku hizi watoto wa st augustine wamepaharibu
 
Lolz! Siku hazigandi mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom