In my opinion 20 is too wide! I sent his picture in uniform, as day 1 at school to his brothers. Some of them commented on the pair of trousers being too big at the bottom, and that was before being taken for modifications by the teacher-tailor!Naona vijana wanazidi kuharibika kwa kuvaa vimodo na mentality itachange wakivaa suruali Pana ili kuleta nidhamu zaidi.
Hata kama ni Nidhamu ndo suruali chini iwe 20"?Naona vijana wanazidi kuharibika kwa kuvaa vimodo na mentality itachange wakivaa suruali Pana ili kuleta nidhamu zaidi.
Kama uliwahi kuona picha ya Kiduku wa Korea ndo iko hivyo[emoji38]wekeni kapicha ka inch20 tujionee maajabu
kama ndio hivyo naweza kuhamisha mtotoKama uliwahi kuona picha ya Kiduku wa Korea ndo iko hivyo[emoji38]
Ndo masharti ya shule hayo, niliwahi kuona sketi za shule moja mkoani Rukwa hata Jenipher Mgendi hawezi vaa.kama ndio hivyo naweza kuhamisha mtoto
Kama uliwahi kuona picha ya Kiduku wa Korea ndo iko hivyo[emoji38]
Ameenda boarding, sasa najiuliza zile siku za outing sijui wanatokaje na hizo uniform, huko mtaani si watu wanakuona kama kituko?Anasoma DAY au BOARDING? Ni uniform tu, hakuambiwa na nguo zake za kawaida zifate mfumo huo....msije mkaanza na kusema, mtindo wa nywele n.k, 20inch haiathiri masomo yake sio? Avae tu hata kama ni Pepe Kale style.