PUGU nadhani JUMA WASISI mnamsoma...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PUGU nadhani JUMA WASISI mnamsoma......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lifeofmshaba, Jul 10, 2011.

 1. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  [video=youtube_share;9y-7nhTRlTU]http://youtu.be/9y-7nhTRlTU[/video]
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbona empty?
   
 3. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  eeh! eeh! eeh! sema sasa?
   
 4. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
 5. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nilipo ona hiyo kitu nilikumbuka vituko vya huy techa na jinsi watu walivyokuwa wanamuogopa
   
 6. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  bila kumsahau mzee mabagala
   
 7. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tupo wengi tuliopitia 'Pond', wapi wajimila - nyoka
   
 8. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nyoka alijiendeleza zamani sana atakuwa udsm
  hata juma mzee wa juu sidhani kana bado yuko hapo.

  ila pondi na fungus zile sio mchezo hahahaahaha hazina urembo zile

  hivi mama pendo mado hupo
   
 9. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kweli tumetoka mbali. Kwa ambao hawakupitia Pugu mtusamehe ila ki-ukweli fungus hadi kwenye makao makuu kwa ajili ya maji ya pondi. Ilikuwa vigumu kushindwa kumtofautisha mwanafunzi wa Pugu kati ya wanafunzi wengine maana wa Pugu utamkuta mkono moja unaminyaminya nyanya (makende) na kuzipapasapapasa. Kisa fungus.

  Usisahau na upupu wa pondi. Silaha imara ya kupambana na wanafunzi wa shule korofi. Maana nakumbuka tukiwafunga mabao wanaanza kuleta fujo hivyo silaha yetu ilikuwa kutumia upupu hadi kwenye magari yao. Ilikuwa ni sinema za bure wakianza kuwashwa na upupu. Samahani kwa yote lkn yote yalikuwa maisha ya shule.
   
 10. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  namkumbuka 4m 4 alitufundisha sarufi .
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,169
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  mkuu wazee wa pond big up
  labda cha kufurahisha mabagala alirudi shule akaenda chuo kikuu hope alimaliza salama
  same to wasiwasi alirudi shule akawa pale mliman sijui al ipoishia maana siri za walimu wanazijua wenyewe
  kwa mnaomkumbuka mabeg's alikuwa aanakukimbiza hata ukiwa uchi anasema mi nautaka kuuona huo unaoukimbiza una nini
  ni one wa craizy dady hope bado ana survive na mambo ya elimu kama si prof nyingine
   
 12. T

  The Priest JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Alipotoka chuo akawa anafundisha chemistry a-level,shallow mbaya,full kijisifu,mama pendo keshafariki wakuu kama mnamkumbuka,
   
 13. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nyinyi vijana wa pond yaani mnanikumbusha mbaali sana, hahaha namkumbuka mugyabuso (RIP) huyu alikuwa anafundisha chemistry A -level alikuwa anatupiga mkwala kuwa, bora akuone unaongea kuliko akikuhisi kuwa unaongea
   
 14. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  MKANDAWILE YUKO WAPI? moja wa wana chemia wa pugu
  mama pendo hayupo RIP .

  KAMA JUMA WASISI NI mwalimu chuo kikuu basi lushoto kuna balaa akienda likizo.
  mzee mtata sana huyo.
  ila mabagala mwisho wa habari alimkumbizi jamaa mmoja mpaka pugu kajiungeni umbali kama wa KM 3 hivi msele alipochoka
  ikabidi asimame, mabagala kufika anamwambia MTOTO nilizani huko fit, chukua nauli panda bus kuna rollcall, ndio maana nilikuwa nakukimbiza
  nenda shule mtoto.

  hahahaha bangi bana
   
 15. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  walimu wengi ndio kazi yao ndio maana vizazi vinaangamia , walimu wote ni wanafunzi wa vyuoni
   
 16. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 17. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  hapa wapi?
   
 18. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pugu gani hiyo mnayoisema? Pondi sawa naijua lakini nilitarajia mtu aseme juu ya lile gwaride la ukakamavu lakutumia bunduki za miti ya kuchonga.... lol!!! Wapi Mukulu wa bangoyi, makamanda mkuu wa gwaride???? Siku hizo mtu lazima uvue shati kabla ya kuingia chooni maana usipofanya hivyo shati lako litapata harusi siku nzima, wenyewe tulikuwa tunaita kwenda chooni ni kwenda battle maana sharti uvue shati.
   
 19. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hiyo yako mkuu itakuwa ya zamani sana lol,
  ila vyoo ziliendelea na hiyo heshima ya kuvua shati, watu kwenda chuoni wanapanga ratiba kwa wiki j5, jumamosi
   
 20. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tupo wengi sana
   
Loading...