Publishing Software inahitajika

Publishing Software inahitajika

The Green Page

New Member
Joined
Oct 15, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Nahitahi software inayoweza kufanya kazi zote za publishing kama ifuatavto:-
1:kufanya editing ya picha na michoro mingine
2:Book cover designing
3:Book typesetting and arrangement before publishing.
4:Kazi nyingine zinazofanana na hizi

Mwenye software hizo aweke namba zake za sm hapa.
 
nina Scribus....kama ni mjuzi wa haya maswala hii software itakufaa sana..ni pM namba yako.
 
Software zipo nyingi mkuu. Ujuzi wa kucheza nazo ndio changamoto. Natumia adobe products..zinantosheleza
 
Back
Top Bottom