Public transport ( Kinshasa vs Nairobi Vs Dar Es salaam)

Tanzania tatizo kubwa ni siasa za kujipendeleza kwa wapiga kura.

Mfano kituo cha mbezi mwisho utadhani dampo kwa sasa.
maisha lazima yaendelee.atleast akija mgeni atajionea namna huruma imetumika kwa wasakatonge wote.

lakini sio kushindwa kufanya kitu bora kama kujenga stand.
 
Hayo mabasi ya mwendo kasi ukiyaona kwa video za kwenye Youtube au mapicha yanatamanisha na kupendeza, ila sasa wahoji wakaazi wa Dar wanao yategemea ndio upate mziki wa kero zake.

Kwa uzoefu wangu wa kuishi miji yote miwili tena kwa muda mrefu, yaani tu pamoja na kero za matatu/daladala zetu hapa Nairobi ila zipo nafuu kwa mbali sana ukilinganisha na kero za Dar.
hii haiondoi ukweli kwamba hizo buses ni nzuri na zimekaa kistaarabu.
 
Mambo yazima yapangiliwe, kuto kupanga sio execuse ya uchafu .
maisha lazima yaendelee.atleast akija mgeni atajionea namna huruma imetumika kwa wasakatonge wote.

lakini sio kushindwa kufanya kitu bora kama kujenga stand.
 
hii haiondoi ukweli kwamba hizo buses ni nzuri na zimekaa kistaarabu.

Yeah ukisubiri karibu masaa mawili, kisha lije ung'ang'anie hadi upate kiti, hapo sawa utaenjoy, japo pia omba upate kiti upande wa dirishani vinginevyo watakaobanana kwa kusimama watakujambia sana na kukubana hata kama umekaa.
Picha za Yuotube ni nzuri lakini mimi nafahamu uhalsia, nilijaribu kuzitumia hadi nikakata tamaa, mara kadhaa nalipia na kuanza kusubiri stendi, ila hatimaye inanibidi nishuke nje ya stendi nikasake taxi, maana mabasi yenyewe yanachelewa kishenzi na likija limejaa abiria wamebanana hadi mlangoni.
 
Mie ni mkenya lakini matatu ni UCHAFU UCHAFU UCHAFU.

Ipo siku tutanusurika na hili janga na uchafu.

Nimeitembelea Dubai, Saudi Arabia, Cairo, Kuwait City, Doha hata Baghdad wala hamna machafuko na uchafu huu unaoitwa matatu.
So ghettoish so classless, big international cities should have clean, quiet, orderly, uniformly and timely transportation.

Kwa kweli huwa sizipendi hizi, graffiti, kelele, touts, reckless driving. Hizi ziruhusiwe kule ghetto sijui Kariobangi zisije katikati mwa jiji abadan.

Imagine Uperhill sijui Westlands business district na ughetto kama huu wapi na wapi?

Jamani wakenya tuache kusifia uchafu na macahafuko kama haya,inaelekea akili zetu zipo na kasoro.
Kanunue gari lako uache kupanda matatu!
✌️
 
Hivi sasa serikali ipo kwenye hatua za mwisho kuzipiga ban jijini, najiskia raha....kudadadekiii.
Bado zitakuwepo leo kesho na hata milele, 🤣🤣🤣 Alafu hivi wee wa wapi coz matatu nazozijua mimi huwa safi sana na zimesukwa hatarii ndani hadi inje? Hivi matatu zenyu hamzioshi ndio maana unalalama hapo ilhali hata taxi huwezi gharamikia. Wacha vijana wafanye kazi mkulu, uzaskira uwe!?
✌️
 
Dar es salaam
1615825194000.png


Nairobi
1615825218176.png


Kinshasa (Sijafika) Msemakweli mtoto wa Mungu
 
Back
Top Bottom