chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,124
Usipojiheshimu hakuna atakayekuheshimu hata mimi nimekudharauAsante kwa kuwatukana wazazi wangu.
Ila kwenye bandiko langu sentensi ya mwisho nimeandika" ukweli unauma" - hii Tanzania sio yako usijifanye wewe unaipenda sana.. Inabidi tubadilike tuwe civilised iys very simple but sio kwa matusi na short minded kama wewe.
Lazima tuangalie mbele na tusiangalie chini