Public smoking

mwakajinga

New Member
May 23, 2011
2
0
Ni kwamba uvutaji sigara ni hatari kwa afya ya mvutaji na watu walio karibu na mvutaji pindi anapovuta sigara.Na najua ni kosa mtu kuvuta sigara katika mkusanyiko wa watu wasiovuta na wanaovuta.Cha kushangaza ni kwamba wavuta hawajaandaliwa miundombinu ya sehemu za kuvutia(smoking zone).

Swali ,kwanini serikali ilipitisha sheria ya inayozuia mtu kuvuta sigara sehemu yenye mkusanyiko wa watu ,angali haijajiandaa na miundominu ya kuwawezesha wavutaji wavute bila kuwabughuzi watu wasiovuta kama mimi.

pls Tanzania govt, let copy and paste from our neighbour country Kenya.
 
nakuunga mkono ila nilipopigia mstari rekebisha. ni kweli inabidi si kusubiri serikali bali wavuta sigara watengewe sehemu zao za kuvuta. ulaya walishafanya hivyo ili kupunguza magonjwa ya cancer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom