Ulimtuhumu wapi publically?Hello JF
Leo ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba msamaha isajorsergio kwa kumtuhumu yeye ndio Stellian Russu na ameiba idea ya proposal yangu...
Nimethibitisha kwa watu wawili waliotuma proposal zao US embassy documents zao zinaonyesha author ni huyo Stelian Russu
Isajosrgio has nothing to do with it...
Nimeona nimuombe msamaha in public sababu nimemctimize kaka wa watu publicly..
Na alivyo mstaarabu hakuwa ananijibu, anaona dish limeyumba tu..[emoji1787]
Again, i am soo sorry Sergio...
Ulimtuhumu wapi publically?
Umeweza kupata suluhisho?
Hello JF
Leo ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba msamaha isajorsergio kwa kumtuhumu yeye ndio Stellian Russu na ameiba idea ya proposal yangu...
Nimethibitisha kwa watu wawili waliotuma proposal zao US embassy documents zao zinaonyesha author ni huyo Stelian Russu
Isajosrgio has nothing to do with it...
Nimeona nimuombe msamaha in public sababu nimemvictimize kaka wa watu publicly..
Na alivyo mstaarabu hakuwa ananijibu, anaona dish limeyumba tu..[emoji1787]
Again, i am soo sorry Sergio...
Aisee
Yaani lawama zote zile kumbe hata haukuwa na uhakika kuwa yeye ndiye muhusika
Mmhh inaweza kuwa waliokua wanadai kuwa ile I'd ya huyo Sergio na wewe ni mtu 1 walikuwa wapo sahihi
Mfikirie tu kaka wa watu .. Walau ajipoze maumivu lolTafuta reward nyingine, hio ya kumtoa out ni ngumu kidogo..LOL
😂😂😂😂😂inaweza kuwa waliokua wanadai kuwa ile I'd ya huyo Sergio na wewe ni mtu 1 walikuwa wapo sahihi
Kabisa, mpe dinner moja matata. Spend some time with him[emoji39]Tafuta reward nyingine, hio ya kumtoa out ni ngumu kidogo..LOL
Au amzawadie tu bure ili ampoze....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh! Poleni wote na hongereni kwa kupata usumbufu... inabidi jamaa umtoe hata out kidogo sio kwa shutuma zile. [emoji854][emoji854][emoji854]
Ohhh...[emoji848][emoji848]Aisee
Yaani lawama zote zile kumbe hata haukuwa na uhakika kuwa yeye ndiye muhusika
Mmhh inaweza kuwa waliokua wanadai kuwa ile I'd ya huyo Sergio na wewe ni mtu 1 walikuwa wapo sahihi
Umefanya vizuri ila next time never react to something unless proved
Yule kaka ni mstaarabu sana, nilipitia ule uzi nikaona jinsi alivyokua anajaribu kukuelewesha ila you over reacted kwa kweli
Halafu mambo ya out of JF business ni vizuri mkamalizana out ofJF for confidentiality and privancy reasons
Hope he will forgive you
Amakweli wenye bahati hawabahatiki...[emoji39][emoji39]Kabisa, mpe dinner moja matata. Spend some time with him[emoji39]