PT "piga tu" mpya zawasili

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Aisee mwaka huu tutaona nani zaidi...
 

Attachments

  • 1435603275470.jpg
    33.9 KB · Views: 1,209
Maandalizi ya uchaguzi mkuu. Hiyo ndo bajeti iliyotengwa.
 
anayefanya MANUNUZI NI CCM???
Anayepanga BAJETI ni CCM?
Je kila wizara ina vipaumbele vyake ama la?
 
Hizo Doka ni Kwaajili ya Uchaguzi, Wanataka Watupige Vizuri Ukawa.

Vipi Zile Za MaJi ya Kuwasha Bado Hazijafika?
 
Wanaacha kuongeza japo bajeti kwenye wizara ya nishati ili japo tupate umeme wa bei nafuu wananunu gari za pt ili tushindwe kudai haki zetu badala yake wanataka watupe haki kwa hisani.
 
Zimeletwa ngapi hizi mkuu? Dawa ya hawa ni kombeo tu,hata Goliath anaitambua
 
Sawa maana la kutupiga ndo wanaliona la maana...
 
hivi wananunuaga brand new au used..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…