Psychology.

Dk sirleh

Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
33
Reaction score
9
"There is relationship btn behaviour and life"

Members kuna uhusiano/relationship between maisha na tabia so tujaribu kuchunga tabia zetu kwakua huweza kutupa positive or negative effects..
Thanks.. #.. 4GREAT THINKERS ONLY.
 
kweli mkuu, mazoea hujenga tabia na tabia hujenda utamaduni na utamaduni ndio way of life. jinsi unavyobehave ndio jinsi unavyoishi.
huwezi ukawa unakula vitumbua kila siku halafu useme we ni mpenzi wa chapati wakati kila siku ukitoka kwa mama mpishi domo linamelemeta kwa mafuta ya vitumbua.
how you behave is how you live, you cant behave like a coward and expect people to treat you like a hero.
 
Mkuu umetisha hapoo kwenye vitumbuaa..
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Ukisoma vizur kabsa vitab vya psychology kwel utopata shida kuhusu tabia na maisha kwa ujumla coz imetoa maelezo kuhusu stage za human development kwaio mtu ukipata ka knowledge cha psychology inakuwa poa coz unajitambua kwamba uko wap na ufanye nn kulngana na umri wako.
 
Yap bro hata kama sio keria yangu ila natamani niijue psychology very assential katika dunia ya sasa mkuu
 
Yap bro hata kama sio keria yangu ila natamani niijue pschology very assential katika dunia ya sasa mkuu
Ok tafuta kitabu cha Diana papalia kitakusaidia sana kulea watto wako kwanzia wakiwa wadogo kbsa mpka uzee coz kinaeleza kila kitu pia ukienda Google books utapata vitabu vingi kuna kingine kizur sana sema author nmemsahau nkikumbka ntakwambia
 
Ok tafuta kitabu cha Diana papalia kitakusaidia sana kulea watto wako kwanzia wakiwa wadogo kbsa mpka uzee coz kinaeleza kila kitu pia ukienda Google books utapata vitabu vingi kuna kingine kizur sana sema author nmemsahau nkikumbka ntakwambia
Shukrani elineema..
Ntatafuta hiko while sina hata mchumba.. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Am think kwa baadae
 
Shukrani elineema..
Ntatafuta hiko while sina hata mchumba.. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Am think kwa baadae
Hahahahaha no aina shida hata ww unaeza tumia kwa maisha yako na ukajijua zaid
 
Behavior can change your life.
Of coz de behaviour can change de life.
Unakuta kijana alikuwa na tabia nzuuri awali maisha huwa nayo huenda vuzuri
But ukishabadilika ukawa let say mwizi, malaya , uteja hata maisha nayo yatachange pia..
So unakuja kuona tabia huleta athari .. Nahisi hata hizi ndogondogo za madada kama umbeya pia huleta positv or neg effect..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…