Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

Ndugu Pascal Mayalla .
Wewe ni mwana habari , andiko hili umelicopy pate mahala so usisahau ku Acknowledge mtu aliyeliamdaa .

Nakumbuka nilisoma hii mwaka jana somewhere
Mkuu Mandella, kitendocha ku copy mahali na kuja ku paste humu, yaani copy and paste bila ku acknowledge source, ni wizi tuu, kama wizi mwingine wowote, unaitwa plagiarism, na mwizi wa aina hiyo anaitwa the plagiarist,

Wizi wa hivi ulifanyika sana kwa researches nyingi za vyuo vikuu, kipindi cha nyuma kabla ya kipindi hiki cha the world of information age. Enzi hizo literary work zote ziliandikwa na kuhifadhiwa kwenye ma kabrashana kuishia kwenye shelves, lakini sasa, literacy works zinakuwa published online na nyingine ziko protected by patent kabisa, hivyo uki copy na kupaste, unashikwa tuu mara moja kama mwizi.

Namna rahisi ni ku highlight hata page moja tuu na kuipaste kwenye google, hata sentesi moja tuu iliyoibiwa, itaonekana, hivyo highlight bandiko langu hili kisha search nimekopy wapi na kuja ku paste humu. Nakiri copy na paste baadhi ya hoja, na link nimekuwekea.

Sana sana, siku za nyuma, kulikuwa na wana jf wenye blogs zao au wako kwenye google groups, wanacopy topics humu na kupaste kwenye vi blogs vyao au kwenye vi groups vyao na kujifanya wameandika wao, niliwahi kumbamba mwizi huyu, nika mu expose humu, nadhali aliacha

Karibu tuendelee.

Paskali
 
Pascal mayalla ninekukubali sana leo, tbgu nikujue humu jf hujawahi kunikosha kama leo. Hii semina imeiva sana.
Kumbe tubaongozwa na mgonjwa
 
Mayala kwa hii makala naona dish limerejea hewan, kuna wakati huwa kama unalazimishwa na mkulu kuandika Eti? But for this article hongera
 
Well described...siku nyingine ushushe nondo ya ego ,supper ego na ID in relation to people's behavior ....tunaweza kumsaidia japo tayari anapractice defensive mechanism
 
Nimeona hapa kipengere kinamuhusu Le Mutuz na mapicha na mabebies na kipengere kingine kinamhusu Bashite anayebweka kama fisi.

Kumbe kuna simba hao ndio kina Lukuvi na Rc Anthony Mtaka wanafanya kazi zao kimyakimya na matokeo chanya tunayaona.
 
Nimeona hapa kipengere kinamuhusu Le Mutuz na mapicha na mabebies na kipengere kingine kinamhusu Bashite anayebweka kama fisi.

Kumbe kuna simba hao ndio kina Lukuvi na Rc Anthony Mtaka wanafanya kazi zao kimyakimya na matokeo chanya tunayaona.
JF, was meant to be the home of great thinkers, ma GT hawataji taji majina.

P.
 


Paskal!! Kwa mtu anaefaham vizuri dhana ya psychoanalysis ya Sigmund Freud, maisha ni simple sana! Nimependa andiko lako lina mantiki kubwa sana hasa kutambua matendo watu wanayotenda ila wao binafsi hawako aware!!! What a lovely lesson to all barking dogs!!!
 
Mkuu, kibubu chako atashika/ atakitunza nani wakati ukiendelea na ma-madrip toa kabisa no. za m.pesa, tigopesa nk. Natania tu wajameni!
 
Speak your truth quietly and clearly; and listen to others, even to the dull and the ignorant; they too have their story.
Avoid loud and aggressive persons; they are vexatious to the spirit.
 
Be blessed abundantly
 
Mkuu Chipa, hili la lack of confidence, nililizungumza kwenye uzi huu.​

Paskali
Rejea
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?
Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
Rais Magufuli na serikali yake wakosolewe kwa hoja sio kwa viroja - Jicho letu, Star TV
Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
 
Huku kutunishiana misuli ili kujionesha wewe ni zaidi, ni superiority complex tuu, ambayo ni dalili ya inferiority complex, mtu akiambiwa ukweli kuhusu madhaifu yako, au ya chombo chako, unajiona kama umetukanwa au umekashifiwa hivyo kuhamaki na kutoa matamko ya ajabu ajabu na vitisho kama kutishia nyau watu wakubwa wazima.

Kwa vile anayetishwa namfahamu fika kuwa kiukweli ni jitu la miraba minne na anamsuli wa kiukweli kweli, akiamua nae kutunisha msuli, naamini sote tunakijua kitakachofuata.

This is not healthy at all!.

P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…