Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,723
Salaam,
Declaration of Interest.
Hili ni bandiko kuhusu hypothetical situation tuu na sio any real situation, lunazungumzia a hypothetical being not a real being na halimlengi mtu yoyote specific kwa sababu jf ni home of great thinkers, great thinkers don't discuss people, they discuss ideas, hili ni bandiko la idears za psychoanalysis ya dress code ya mtu na the state of soundness of his/her mind. Hivyo sitegemei kabisa kuona kuna mchangiaji yoyote, atataja jina la mtu yoyote humu, na ikitokea ukajisikia kutaja jina lolote, wewe utakuwa ni simple mind, ujijue hili bandiko sio saizi yako, na hata jukwaa la siasa is tuu big for you, sio mahali pako, nenda tuu majukwa mengine likiwemo MMU.
Ombi kwa mode. Naomba akitokea mchangiaji yoyote, akataja jina la mtu yoyote kwenye bandiko hili, hiyo post ifutiliwe mbali!.
Leo naomba kuendesha kidogo somo la psychoanalysis ya dress code ya mtu, inaweza kuonyesha na state of his soundness of person's mind, nikimaanisha mtu of unsound mind, unaweza kumbaini kwa dress code yake.
Mtu akiwa smart upstairs, dress code yake inakuwa standard smartness. Mtu akiwa ana dress too smart kila siku anaulambia kama anakwenda harusini, ni tatizo!.
Kwenye nguo za kike kuna dress code ya nguo za night, day, beach, casual, dress to kill, nguo za kutokea, nguo za misiba, nguo za kutembelea ukweni etc. Mwanamke akivaa nguo za kubana sana or too revealing mfano nguo ya usiku akavaa mchana, nguo ya mtoko akavaa kanisani, nguo ya night club akavaa kwenye family party, ujue ni tatizo. Hata wadada waliojaaliwa maumbile makubwa halafu wanavaa nguo za kuonyeshea maumbile yao huku wakipita na kuyatingisha, hawa pia sio wazima!.
Hata sare za baadhi ya vyama, dress code zao zinatisha ziko kama combat, kuashiria ni vyama vya ukombozi au vyama vya kiuanaharakati, hii hupelekea baadhi ya watu wapenda amani na utulivu, kuviogopa vyama hivyo!. Na ndio maana kuna waliojiunga na vyama fulani kwa sababu ilibidi tuu lakini sare za kutisha, hawavai!. Wakati kuna sare nyingine zina rangi za ajabu ajabu, zinazopelekea watu kuviona vyama hivyo ni vyama vya hovyo kwa color sensitive people.
Usiyoyajua Kuhusu Dress Close.
Wale wenye muda pitieni hapa
7 ways your clothes change the way you think | Brain Fodder
Yajue Maajabu 21 ya Nguo Unazo Vaa.
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
NB. The state of soundness of mind, has nothing to do with IQ ya mtu. Kuna maprofesa wengi, they dress very shabby hata Archimedes alipogundua Law of flotation, aligundua akiwa bafuni anaoga kwenye bathtub, alitoka bafuni hivyo hivyo alivyo na kukimbia mtaani huku akiipiga mayowe "eureka...eureka", maana yake, nimegundua, nimegundua!.
P.
Rejea za Psychoanalysis
Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?
Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!
7 ways your clothes change the way you think | Brain Fodder
SAGE Journals: Your gateway to world-class journal research

- The first impression last longer, hiyo impression inaanza kutambulishwa by dress code yako, ndio maana ukienda interview, au kukutana na mtu muhimu, you dress up. Hata dada zetu kwenye first appointment, lazima avae neat, ndio maana ukiwashtukiza, unakataliwa.
- The clothes we wear affect our behavior, attitudes, personality, mood, confidence, and even the way we interact with others. This is “Enclothed Cognition“
- Vazi la mtu linaathari kwenye akili ya mtu!. Mtu ukiwa na akili tena ni mtu wa maana, ukavaa hovyo hovyo, sio tuu utaonekana mjinga au mtu wa hovyo, bali kiukweli unageuka mjinga na unakuwa mtu wa hovyo!.
- Mtu mjinga mjinga, akivaa smart sio tuu ataonekana mtu wa maana, bali kiukweli anageuka mtu wa maana!.
- Enclothed Cognition ni madhara ya nguo unazovaa au muonekano wako unakuathiri ki psychological, emotions, self evaluations, attitudes, na interpersonal interactions
- Kuna nguo zina nguvu na heshima fulani, ziko considered to be powerful, some to be fun, and so on. We even evaluate people whom we have just met based on their clothes and the occasion.
- It would seem that we also evaluate ourselves and our roles based on what we are wearing at a particular time.
- Kuna nguo ukivaa unapata mafanikio, kuna nguo ukivaa unapata confidence na kuna nguo ukivaa zinakufanya kufanya mambo ya hovyo. Ukivaa suti kali anakuwa very confident unapata mafanikio. Mwanamke ukivaa kichangudoa, mtu akigusa tuu, unatoa!.
- Kuna nguo fulani ukivaa, zinakuletea bahati, mafanikio na utajiri, na kuna nguo ukivaa, zinakuletea balaa, majanga na umasikini!, kwa wanaume shati nyeupe huleta bahati!. Angalia kiwango cha umasikini kwa makabila ya wanaovaa Kaniki na ulinganishe na wasiovaa!.
- Kuna nguo ukivaa zinakupa seriousness fulani ya kazi hivyo unakuwa serious. Angalia wanaovaa uniforms za kazi, kuna nguo ukivaa una relax, angalia Friday casual. Ukivaa too formal huwezi ku relax ndio maana wababa huvua koti la suti na ku relax.
- Kuna nguo ukivaa, unavutia na kuwa attractive, watu wanavutiwa nawe, na kuna nguo ukivaa watu wanakukimbia!.
- Kuna nguo ukivaa kabla ya mambo flani, zina athari nzuri kisaikolojia na kukufanya u feel good, na kweli mambo yanakuwa good!.
- Ukiiga dress code ya role model wako, kiukweli unapata mafanikio kama huyo mtu. Kwa vale wanaokumbuka "the Obama Suit", nilimuona January Makamba akivaa, na kweli akaja kukutan na Obama Ikulu ya WH, na sasa subirieni 2025!.
- Kuna nguo za staha wanawake wakivaa, hata tabia zinakuwa ni za kujistahi, na wakivaa nguo za kujiachia, wanajiachia.
- Ukivaa nguo za heshma, unakuwa ni mtu wa kujiheshimu na utaheshimika, ukivaa kihuni huni, unakuwa mhuni. Mfano japo kanzu na hijab ni mavazi ya heshima na sio ya dini yoyote, hata Yesu alivaa kanzu na Bikira Maria, alivaa hijab, lakini mavazi haya, yamenasibishwa na dini fulani, ukivaa kanzu na balaghashia, hata kama wewe sio Muislamu, huwezi kwenda bar aukaagiza pombe na kunywa public au kama unatumia ile nyama tamu kuliko zote, huwezi agiza.
- Ukivaa mavazi fulani ya quality fulani, yanakupa comfort fulani, unakuwa comfortable, mfano nguo za pure cotton vs synthetic unakuwa restless bila kujijua.
- Ukivaa nguo fulani unajisikia very secure, na ukiwa huna nguo unajisikia very insecure, ndio maana kuna watu, hata kulala, wanalala na nguo, akilala bila nguo, hapati usingizi.
- Kuna nguo ukivaa, zinazungumza na hisia zako na kukutia ushawishi wa kufanya mambo fulani, hivyo mtu akikuvalia tuu kanga moja, akili zako zinakutuma kwingine!.
- Kuna nguo au vitu ukivaa zinaongeza ladha kwenye mambo fulani kama ilivyo kwenye harufu fulani, perfume fulani, hivyo it's very true shanga kwa wanawake, works magic fulani!.
- Kuna nguo fulani ukivaa au mtu akivaa, zinaathiri mabadiliko ya mood, hivyo kusababisha au good mood au bad mood, unakutana na mtu anakuona tuu anakukwepa kama hajakuona, kisa nguo ulizovaa zimemtibua!.
- Kuna nguo au vitu vya za materials fulani ukivaa, zinawadhuru baadhi ya watu physically kwa kuwaletea maradhi ya ngozi na hata cancer mfano nguo za plastic, chupi za plastic, au soksi za plastic, zina react na jasho la mwili na kusabisha harufu mbaya, fungus, hata magonjwa ya ngozi, mfani kuna mtu akivaa cheni ya gold ambayo sio pure gold, anapata mapele shingoni, au herein zinaleta madhara kwa kuvimba masikio etc!.
- Kuna nguo fulani watu wanavaa, sio kuwa wameamua wao kuvaa hivyo bali au wanavalishwa, au wanavaa hivyo kufuata maelekezo.