Psychedelic Drugs & Consciousness

Right...

Wakati mmoja tutazungumza kuhusu 'Controlled Substance'...

Siku za Mbele, hapa Tanzania na kungineko kote duniani, haya ni mambo yatakayokuwa yakishughulikiwa / kuratibiwa matumizi yake salama (Salama kwa Maendeleo na Ustawi Bora wa Jamii) katika 'Vituo vya Utamaduni'...

Jamii mbalimbali kokote duniani wameishi na 'Controlled Substance'; wakawa wanazitumia kwa makusudi mahsusi, mambo kama vile 'Ibada za Asili' na 'Jadi'.

Huko nje ya Sayari yetu ya Dunia, kwenye sivilai na stawi za kimanyota (Jamii Intastela) moja ya tatizo sugu linaloandama Usalama na Afya ya Ustawi wa Jamii ni uthibiti wa dawa za kuwakisha akili na mafahamu; unaweza kuja kufahamu 'vita dhidi ya matumizi ya madawa ya kulevya' hapa Duniani, kwa kweli, ni shughuli 'cha Mtoto'....

Wakati mmoja, In Shaa Allah -- tuombe kheri, maarifa na hekima kuhusu 'Miduara inayogusana' na 'Miduara' inayoingiliana' inatupatia fahamu na mafahamu ni kwa jinsi gani asili yetu kuwa ni 'nafsi' iliyofanyika kwa Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu -- ambavyo tunayo pia asili ya 'Utamu wa Maisha' ulivyo ni 'Ekstasi / Uroda'...

Katika Ulimwengu wa 'Miduara Inayogusana' ni asili isiyo kwenye wakati... Namna hii ndiyo Unje-Ndani wa Ulimwengu wenye Wakati... Mambo ya 'Trizaniamu' yenye asili ya Miduara yenye Kugusana, Miduara yenye Kuingiliana na Msalaba Usifinati...

Kwa muktadha akilifu wa haya mawili, Miduara yenye Kugusana na Miduara yenye Kuingiliana ,unaweza kusema, UZIMA WA MILELE si chochote bali 'Utamu-Ekstasi-Uroda' usiyokuwa na mwanzo wala mwisho... Mambo ya 'ladha' ya 'Quantum Probabilities' zinazoyakinisha 'kufanyika na Kutofanyika kwa yote' ilivyo ni 'Usentienti'... Watu wa Shule za Mafumbo ya Uzima hulitaja hili kama 'Ladha ya Manani' -- 'The Taste of the Divine' ama pia 'Divine Intoxication'...

Tunaujua huu 'Utamu-Ekstasi-Uroda' katika ulimwengu huu wenye wakati katika nyakati fupi na mambo na matendo kama vile 'Kujaamiana' (Kuingiliana Kimwili)... Zipo namna nyingine tunaweza pia kuinuikia kwenye Utamu-Ekstasi-Uroda' kwa 'kupiga shoti pumzi za uzima wa miili na fahamu zake'-- mambo ya kutumia 'Controlled Substance' kwa mfano....

Kwenye mafunuo ya Asili ya Uzima, Tunaishi kwenye Ulimwengu wa 'kazi za Roho Mtakatifu'... Lakini hili ni 1/3 ya 'UKWELI' ulio ni CHANZO / Mungu...

Hili linafanya Ulimwengu wa (1) 'Mawezekano ya Kikwantumu' na (2) 'Njia ya Msalaba', ndiyo hutimilishana na (3) 'kazi za Roho Mtakatifu', ilivyo ni 'Jinesesia'... Ulimwengu wa Vilivyoumbika ni Pumzi Takatifu ( Roho Mtakatifu ) yenye kudhihiri kama 'Ugravitali na Usumaku wa Miili ya 'Mbingu na Nchi'....

Hmmm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…