Baada ya kuila nilienda kulala,baada ya dakika chache tu nikaona km kuna mwili mwingine upo pembeni yangu,nikadata,ukawa unaniambia kwann nimelala mapema wakati nikichek saa(physically)ni saa saba usiku.Nikaamka nikaenda sitting nikakaa ile hali ikatoweka,cha ajabu nimerud kulala ikarud tena,kumbuka sio km ninaota yaani najielewa kabisa kwamba nipo kwenye hali ile,nikaanza kujiongelesha kwamba I want my mind back yaani nilihisi nimedata kabisa,nilipata hiyo dhoruba mpaka saa kumi na moja ndo nikapata usingizi.
NB Aliyenipa hiyo kashata anasema aliichukua akaivundika ikawa kali ndo mana ilinipeleka vile,pia mi ni jr kwenye hata kuvuta tu,all in all ilikua balaa.
Ulichokifanya usirudie tena.
1. Ni hatari sna. Ndiyo haya mambo tunazungumza watu kufanya mambo bila specific knowledge. Guys , don’t play with these stuff , they have serous effect kwenye human personalities.
Kama ungekuwa na elimu sahihi, unge enjoy .. tayari ulikuwa umeshaanza kupata spiritual connotations.... wow. Bravo aleik.
Well, I’m .........., you guys need to know one thing. Siku hizi hapo mbezi , masaki, Osterbay etc etc kuna bakery nyingi wanatengeneza cakes na mikate wanatumia recipes za cannabis flower ambazo zina THC kali. Hii ni hatari kama mtumiaji ni Begginer na hajafahamishwa.
3. Hii ni hatari kwababu unaweza haribu Akili ya Mtu . Bangi ya kula ina last long hivyo ni risk unaweza kupata psychosis out of knowing how and why.
Machizi Wengi pale MUHIMBILI na Mirembe ni marijuana induced psychosis. Ni Ukichaa uliotokana na Bangi out of knowledge.
I am not recommending that for as long as you do out knowledge. Najua zipo mpaka Chewing gum , pipi, chocolaté etc etc.
4. Kwa nchi za huku zinapatikana but kwa registered vendors , kama vile Pharmacy au Dispensary na unanunua kwa risit na dose yake inaonekana kwenye package. Yaani THC ipo kwa asilimia ngapi.
Ikiwa umekula na ikaleta shida, unajua pa kwenda and you have document to sue the registered vendor. The Vendors are Serious maana akifanya mchezo anakwenda jela. So they don’t play Hata kwa kuuza. Na ukienda kununua unaonesha residence permit au passport and they register you kwenye system. So it is a serious business, no joke .
Ifike pahala the government of TZ iruhu mmea kwa registered vendor na wapewe vibali maalumu na wapewe scientifique method za ku run hii ishu.
Tunaficha ficha mambo wakati watu wanaumia kweli kwa kukosa elimu na source Salama za kupata mmea salama.
Kwanza serikali inapoteza hela nyingi.
Bangi yote inalimwa TZ na kusafirishwa nje na nchi jirani kwa hela ya kutupa kabisa. Are we stupid or what.
Tatizo gvt inadhani Bangi ni kuvuta tu...... Bangi inamatumizi mengi zaid ya kuvuta.
Rwanda mpaka sasa Pharmacy 18 wameshapewa vibali vya kuuza, na wanakuwa monitored kama wana comply.
Raia zaidi ya 25 wamewezeshwa kulima mmea na wana export nje na bangi nyingine wananunulia TZ kwa magendo. It’s bad .
Bangi ni food , mimi nikipika supu ya kuku wa kienyeji ni lazima nichukue majani ya bangi na mizizi yake nachemshia supu and I eat with my family for healthy purpose.
Kwa uzembe wa kuficha ficha, matokeo yake watu wanaanza kuwekea bangi kwenye cake na kashata na hii ndio style kwa sasa hapo mjini. Na watu wanapenda na kurudi.
Sasa why don’t we educate them kwanza? Why don’t we register them ili wawe responsible Incase ya misconduct ?
Do we know how much THC wana put kwenye hizo kashata au Cake, matokeo yake tunaenda kuzalisha kizazi cha matahaira in next coming years
Knowledge makes man unfit to be slave.
Gvt of TZ , ifanye feasibility study kwanza kujua umuhimu , tuache upumbavu, watanzania wanaweza kuwa bilionea kwa resources zao wenyewe.