Ni kweli kabisa, pia wajitahidi kutembelea sehemu ambazo hazina ofisi kwa utaratibu watakao panga wao, kingine hawa wakuu wao wa Vitengo watoe namba zao za simu na wakipigiwa wawe wanapokea, mambo mengine hayahitaji kupanda basi kwenda kuhitaji ufafanuzi.