mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,712
Makosa yapo sehemu tatu kuu,mwajiri na mwajiriwa.PSSSPF wanatumia makosa hayo katika kuhakikisha wanakaa na fedha za waastaafu kwa kipindi kirefu.Hakika inasitikisha sana kwa wanayopitia wazee wastaafu waliojitolea kuitumikia nchi kwa nguvu zao na kuchangia michango yao kwenye mifuko ya jamii lakini leo wanashinda wanazurura kudai haki yao.
Kuna mzee alistaafu Julai 2018 lakini mpaka leo amekuwa akizungushwa na watendaji wa PSSSF kwa kuambiwa njoo kesho njoo mwezi ujao.
Kwa mujibu wa maelezo ya mstaafu huyu anadai mafao yake ya serikali kuu kwani amefanya kazi serikali kuu na serikali za mitaa.Tunaiomba serikali ikawaangalia wazee wastaafu kwa jicho la huruma na kuwalipa mafao yao.
Jamani Raha sio rahaaaaa?Hakika inasitikisha sana kwa wanayopitia wazee wastaafu waliojitolea kuitumikia nchi kwa nguvu zao na kuchangia michango yao kwenye mifuko ya jamii lakini leo wanashinda wanazurura kudai haki yao.
Kuna mzee alistaafu Julai 2018 lakini mpaka leo amekuwa akizungushwa na watendaji wa PSSSF kwa kuambiwa njoo kesho njoo mwezi ujao.
Kwa mujibu wa maelezo ya mstaafu huyu anadai mafao yake ya serikali kuu kwani amefanya kazi serikali kuu na serikali za mitaa.Tunaiomba serikali ikawaangalia wazee wastaafu kwa jicho la huruma na kuwalipa mafao yao.
Kwani idara ya ulinz wao hawapo kwenye mifuko ya jamii?Jiwe anahusika hapo kwa mipango yake mibovu.
Wafanyeje na wao hawana hela? Hela za wastaafu ndio zinazopendezesha ChatoNakazia,,, Hao PSSSF ni wahuni wengine mjini!
Nimecheka sana hii commentJamani Raha sio rahaaaaa?
Au nadanganya ndugu zangu?
Mliona ujiko mliposikia miradi inajengwa kwa fedha za ndani, Sasa kufeni tu sisi hatujali, lazima kila water body nchi hii ipate daraja la kifahari.
MITANO Tena
Chato imekuwa chato mambo ni motoWafanyeje na wao hawana hela? Hela za wastaafu ndio zinazopendezesha Chato
Tatizo Hela hakuna huko tunajenga kwetuPsssf wana kitu inaitwa FAO LA UZAZI,,, Huwezi kuelewa maana yao katika hili kwani kuna watu walijifungua January 2020 lakini hadi sasa hawajaambulia chochote...
Sasa jiulize nini lengo la FAO LA uzazi ? Binafsi naamini hili FAO limekusudia kumsaidia aliyejifungua kukidhi mahitaji kadhaa baada ya kumaliza kujifungua! Sasa huyu m/mke kakaa hadi mwaka umepita mtoto kawa mkuubwa mfano anatembea na pengine ni mjamzito tena lakini cha ajabu bado anasubiri mafao ya kijana wake aliyemzaa miezi zaidi ya 12 iliyopita..
Kwanini hawa watu PSSSF wanasumbua watumishi na wastaafu hivi? Kama kitu ni kigumu kiutekelezaji ni heri wakaachana nacho tu! Sipendi kuona watu wanazungushwa kwenye kudai haki zao bila sababu ilihali wamekidhi vigezo vyote na kupewa visingizio vya kijinga
Wacha tuone
Mifuko imegeuzwa kuwa magenge ya unyang'anyi sasa πππ mi nilijua ni NSSF tu kumbe hadi huku ushuani PSSSF?Hii mifuko ilifaa iwe ni hiari Kama ilivyo Saccoss kujiunga
Natamani sana ingekuwa hivyo ili kusudi kila mtu aamue binafsi kuwekeza huko au kuweka kwenye kibubu home.Hii mifuko ilifaa iwe ni hiari Kama ilivyo Saccoss kujiunga
Psssf wana kitu inaitwa FAO LA UZAZI,,, Huwezi kuelewa maana yao katika hili kwani kuna watu walijifungua January 2020 lakini hadi sasa hawajaambulia chochote...