Ndiye naniMlipeni George Gerald Mwashimaha hela Yake, mmemsotesha sana
Kweli wastasfu wanatesekaTangu lini aliyeshiba akamjali mwenye njaa!!
Bora umetaja jina. Yupo mstaafu mmoja wanamzungusha sana tena kwasababu ambazo hazimuhusu. Nakusanya evidence alafu nitatumia hadi PA ili wajue wanachofanya ni uhuni.Mlipeni George Gerald Mwashimaha hela Yake, mmemsotesha sana
Lijuakali ameingiaje humuPale Lijualikali anapoenda kuishtaki CHADEMA polisi kutokana na kashkash alizopewa na polisi kwasababu ya CHADEMA.
Wazee wetu wanadai mafao toka 2017 mpaka leo wanahangaika utadhani ni mkopo halafu tunaambiwa Serikali ya kuwapigania WanyongeJana kamati ya bunge imeitaka Psssf kujitathimini endapo Ina uwezo wa kulipa mafao ya wastasafu kwa wakati. Kuna uzembe Psssf kulipa mafao kwa wakati. Wale waliokuwa kwa kanuni ya kikokotoo Cha 25% baadhi yao hawajalipwa mapunjo. Hotuba ya rais Magufuli 28/12/2018 alifuta kikokotoo hicho na kuagiza wastasfu wale walipwe mapunjo yao. Hadi Sasa bado wapo wastasfu wengi hawajalipwa mapunjo yao.
Ni muda Sasa waziri husika kufanya ziara kwenye ofisi za mfuko ili kujiridhisha na utendaji kazi katika mfuko mbali ya kutoa tu maagizo bila kufuatilia. Tatizo Ni wastasfu kutokuwa na wafuatiliaji wanawawakilisha. Hivi Sasa ili update hela kwa wakati inabidi ufunge safari Hadi Dodoma kufuatilia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu wengi hawataelewa.
Nilijua tu wengi hawataelewa.
Wahanga Ni wengi ukienda ofisini utatamani kulia Mara file linashughulikiwa ukienda Tena utaambiwa system hakuna saa zingine utaambiwa subiri mwezi ujao tuangalie.... Kero tupuMh ni hatari hawa watu.
Fomu imeandikwa kwa kiingereza anayetakiwa kuijaza alikua ni mfagiaji tu wa ofisi.
Yanarudishwa majibu kwamba hakuna uthibitisho wa mwajiri.
Uthibitisho unapatikana. Akili yangu inaniambia zoezi litaanzia lilipokwamia kutokana na kukosekana huo uthibitisho.
Kumbe nilikua siijui PSSSF.
Wakasema process nzima inatakiwa ianze mwanzo. Hapo hilo jibu limekuja baada ya miezi minne.
So process ikaanza mwanzo. Huu ni mwaka sasa tangu process kukamilika.
Na nikafikiri labda ni sisi tu.