Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,562
Yaani kati ya miezi iliyokimbia kwa upande wangu mwaka huu ni mwezi wa 9.Hahhhh
Nilikandwa tarehe 6, sijakaa sawa nikakandwa tarehe 10. Nikapumua kidogo.
Nikarudi tarehe 24 nikapigwa hat-trick




Niliporudi kijiweni baada ya tarehe 24, nikawa naulizwa hadi naona aibu jinsi nilivyochakazwa.
