Hao manaija nao wanatia aibu,kila kitu wamelipwa sasa anasa zao nazo wanataka walipiwe,si wanajifanya ma tycoon si wangelipa kimya kimya,huko kutishia nyau hakusaidii,enzi za kushadidia eti ma celeb kila kitu free imekwisha,kwendeni kwenyu manaija matapeli