iGodmanhustler
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 609
- 343
Daah miezi inakata tuuu hata sipati taarifa yoyote kuhusu majibu ya oral interview.au ndo tusipokuita ujue un successful
jinamiz limetanda huko..uchakachuaj in the making...Daah miezi inakata tuuu hata sipati taarifa yoyote kuhusu majibu ya oral interview.au ndo tusipokuita ujue un successful
daaaah we acha tu!hata mimi nashindwa kuelewa cjui ndo ishakula kwetu,mi nilifanya ya FINANCE OFFICER 2....please kama kuna mwenye info atujuze tusiendelee kukaa tunajipa matumaini kumbe watu washaanza kazi kitambo.Daah miezi inakata tuuu hata sipati taarifa yoyote kuhusu majibu ya oral interview.au ndo tusipokuita ujue un successful
bado hawajaita ila nasikia majina yapo tayari muda mrefu cjui wanasubiri bodi ikae,ingawa pia kuna habari kuwa mamluki washaanza kuitwa chini kwa chini na watu wao,ila tuliopata kihalali bado...tuzidi kuomba Mungu,maana pekee ndiye anayeweza kutenda haki...daaaah we acha tu!hata mimi nashindwa kuelewa cjui ndo ishakula kwetu,mi nilifanya ya FINANCE OFFICER 2....please kama kuna mwenye info atujuze tusiendelee kukaa tunajipa matumaini kumbe watu washaanza kazi kitambo.
mimi pia same post.maana watu tunashindwa kabisa kufanya mipango mingine hata speed yakuapply kazi imepungua by giving ourselves false hopes