Pspf msaada jamani

ntahagaye

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
92
Reaction score
19
Msaada jamani mimi nilikuwa mwalimu selikarini sasa nimefukuzwa kazi nilikuwa mwanachama wa pspf nimechangia kwa miezi arobaini nilikuwa nauliza je nienda kudai malipo yangu ntalipwa pia nilikuwa nataka kujua calculation inakuaje ya malipo hayo
 
Hakuna malipo ndugu wala hata usiwe na matumain.Kwa mujibu wa sheria mpya mafao yatatolewa kwa mwanachama kuanzia miaka 15 ya utumishi chin ya hapo hupewi ni sheria ya kihuni kweli.
 
Acha uongo anapewa mafao yake yote aende makao makuu watamweleza cha kufanya. Ila atapewa michango yake pekee na ya serikali. Hatofanyiwa calculations.
 
Mkuu wewe una hela ndefu licha ya pspf nenda mahakamani utapata kiinua mgongo yani nusu mshahara wa mshahara wako wa mwisho mara miezi 40.
 
unapata withdraw benefits yako..

michango yako tu uliyochangia.. haraka haraka una kama milion 7 to m 10 hivi
 
Acha uongo anapewa mafao yake yote aende makao makuu watamweleza cha kufanya. Ila atapewa michango yake pekee na ya serikali. Hatofanyiwa calculations.
Jibu kwa reference na sio hoja zako za kiharakati.Acha ubishi wa kiprimary!!
 
Mkuu wewe una hela ndefu licha ya pspf nenda mahakamani utapata kiinua mgongo yani nusu mshahara wa mshahara wako wa mwisho mara miezi 40.

mkuu mahakamani nafungua kesi gani ndugu
 
Msaada jamani mimi nilikuwa mwalimu selikarini sasa nimefukuzwa kazi nilikuwa mwanachama wa pspf nimechangia kwa miezi arobaini nilikuwa nauliza je nienda kudai malipo yangu ntalipwa pia nilikuwa nataka kujua calculation inakuaje ya malipo hayo
Google pspf utapata maelezo kwenye website yao
 
Jibu kwa reference na sio hoja zako za kiharakati.Acha ubishi wa kiprimary!!

Unataka reference gani michango yake atapata hakuna wa kuzuia ambacho hatopata ni zile calculations. Ila fao la kujitoa anapata usiwe mbishi kijana.
 
Am assuring you explicitly,hakuna mafao wala usitegemee utapata presha bure alt its really difficult to swallow the truth.

Mkuu hebu tunaomba ufafanuzi vizuri kwa manufsa ya jukwaa.navyofahamu mimi pale kazi I apokoma mwanachama anapaswa kulipwa terminal benefits zake.kiinua mgongo analipwa lakini kwa kuwa hajatimiza miaka 15 ya utumishi hataweza kupata Yale mafao ya kila mwezi kama wanayopata wastaafu baada ya kumaliza muda wao wa kazi
Hebu type ufafanuzi
 
Hakuna malipo ndugu wala hata usiwe na matumain.Kwa mujibu wa sheria mpya mafao yatatolewa kwa mwanachama kuanzia miaka 15 ya utumishi chin ya hapo hupewi ni sheria ya kihuni kweli.

sheria mpya inahusu pensheni ya uzeeni, na sio mafao ya kujitoa. hapo atapata pesa yote alochangia pamoja na mwajiri wake!
 
mkuu mahakamani nafungua kesi gani ndugu

Serikali imevunja mkataba inabidi ikulipe kiinua mgongo na fidia nenda mahakama ya kazi au CMA. Ukienda CMA pale wanakupa maelezo yote wapo akiba pale opposite na CBE.
 
Am assuring you explicitly,hakuna mafao wala usitegemee utapata presha bure alt its really difficult to swallow the truth.
Kama kitu hujui usikurupuke ukamkatisha mwenzio tamaa akakosa stahiki zake.
 
PSPF ni Jipu uchumgu, nalo linasubiria kukamuliwa
 
Wakuu msaada wenu,mie sijaajiriwa,but nataka nijiunge na hii mifuko ya kijamii hasa hasa nataka kufahamu mfuko ambao unatoa bima nzuri ya afya..nitashukuru nikiambiwa na gharama za kujiunga na michango ya kila mwezi inakuwa bei gani kwa mfuko husika,pia zilipo office zao kwa Dar.natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…