kweli ajira zimekuwa ajira hapa bongo.Hivi nyinyi PSPF kwanini msumbue watu ikiwa nafac zimejaa?eti mnauliza 45/9?,245 -175??,253 +130??, achani hizo kama nafac zimejaa msisumbue watu bure .
Mtihani ulikuwa unapima general understanding ya mtu. Mmeona mtihani mrahisi lakini mkipewa majibu mtashangaa!
Subiri kama utakuwa mmoja wa hao 50! Ukikosekana kwenye 50 unatakiwa ujione kilaza!