PSPA/LLB Mzumbe kwa Diploma holder

PSPA/LLB Mzumbe kwa Diploma holder

Yap nina GPA ya 4.4
4.4 wanakuchukua lkn iwe related na kile ulichosomea diploma.. sio umesoma Law afu unataka uchumi.. wanaangalia sana ufaulu wa O level iwe angalau una D 3 na C 2. Hutojutia kusoma Mzumbe na zaidi utajikuta ukipeta ktk maisha yako ya kazi... all in all Mzumbe ndio chuo kigumu zaidi hapa Tz.. vyuo vingine vigumu ni SUA kikifutiwa na IFM na kidogo UDSM... so ukifika pale nenda shule sio mambo mengine..
All the bests ndugu yangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4.4 wanakuchukua lkn iwe related na kile ulichosomea diploma.. sio umesoma Law afu unataka uchumi... all in all Mzumbe ndio chuo kigumu zaidi hapa Tz.. vyuo vingine vigumu ni SUA akifutiwa na IFM na kidogo UDSM... so ukifika pale nenda shule sio mambo mengine...
All the bests ndugu yangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa mchango wako. Nimesoma PA na nataka kuendelea nayo au ikiwezekana nachukua LLB
 
wacha porojo chuo kigum ni kimoja tz nacho n chuo cha taifa udsm
 
wacha porojo chuo kigum ni kimoja tz nacho n chuo cha taifa udsm
UDSM kuna vilaza nilisoma nao Advance na wanapiga kinyama... hamna lolote kawadanganye wadogo zako nyumbani.. paper za mzumbe hutoboi.. afu pia pale mzumbe ukipata sup 4 at any point unadisco.. yaan kama umepata sup 2 semester 1 na sup 2 semester 2 basi automatically umedisco likewise ukicarry let say 2 subject afu semester inayofuata ukipata sup 2 napo pia umedisco.. hakuna sheria hiyo hapo UDSM.. wanangu kibao wametoboa hapo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba kujua kama chuo cha Mzumbe kinapokea diploma holders katika Shahada za Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (Political Science and Public Administration (PSPA)), na Sheria (Law (LLB)) kwa mwaka wa masomo 2017/18.

Na kama wanapokea naomba kujua vigezo, kwa matokeo ya form four na diploma yanatakiwa kuwaje. Nimejaribu kupitia Guidebook ya TCU naona inaelezea holders wa form six na RPL qualifications tu...
wewe kama ni mwanaccm au una undugu na wanaccm au unapenda siasa nenda kasome hiyo political science otherwise kasome LLB, huu ndio ushauri wangu kwako!!
 
wewe kama ni mwanaccm au una undugu na wanaccm au unapenda siasa nenda kasome hiyo political science otherwise kasome LLB, huu ndio ushauri wangu kwako!!
Asante mkuu nimekuelewa
 
UDSM kuna vilaza nilisoma nao Advance na wanapiga kinyama... hamna lolote kawadanganye wadogo zako nyumbani.. paper za mzumbe hutoboi.. afu pia pale mzumbe ukipata sup 4 at any point unadisco.. yaan kama umepata sup 2 semester 1 na sup 2 semester 2 basi automatically umedisco likewise ukicarry let say 2 subject afu semester inayofuata ukipata sup 2 napo pia umedisco.. hakuna sheria hiyo hapo UDSM.. wanangu kibao wametoboa hapo..

Sent using Jamii Forums mobile app
mzumbe hakun chuo unapata degree hat ukiwa hom,huingii seminar, test unafanyiwa nk
njoo ud,vilazer niliosom nao nawajua ndo wanadum mzumbe!

#ww umekosha nafas ya kwenda ud povu linakutoka
 
Asante kwa mchango wako. Nimesoma PA na nataka kuendelea nayo au ikiwezekana nachukua LLB
Achana na majigambo ya UDSM vs MU-kama unataka PSPA omba UDSM ingawa sidhani kama wanachukua wenye diploma wa kutosha. Kama unataka PA nenda Mzumbe. Mzumbe haina PSPA na UDSM haina PA.
 
Achana na majigambo ya UDSM vs MU-kama unataka PSPA omba UDSM ingawa sidhani kama wanachukua wenye diploma wa kutosha. Kama unataka PA nenda Mzumbe. Mzumbe haina PSPA na UDSM haina PA.
Ndio mkuu nimeamua kuomba PA Mzumbe tu. UD ni ngumu kuchukuliwa, halafu isitoshe ndoto yangu kuu ni kusoma Mzumbe licha ya ubora na sifa za UD. Hiyo PSPA niliihitaji nikijua Mzumbe ipo, huku nikiamini itaniboresha zaidi katika PA yangu...
 
Back
Top Bottom