PSPA/LLB Mzumbe kwa Diploma holder

PSPA/LLB Mzumbe kwa Diploma holder

Ibilisi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
3,465
Reaction score
5,586
Wakuu naomba kujua kama chuo cha Mzumbe kinapokea diploma holders katika Shahada za Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (Political Science and Public Administration (PSPA)), na Sheria (Law (LLB)) kwa mwaka wa masomo 2017/18.

Na kama wanapokea naomba kujua vigezo, kwa matokeo ya form four na diploma yanatakiwa kuwaje. Nimejaribu kupitia Guidebook ya TCU naona inaelezea holders wa form six na RPL qualifications tu...
 
Wakuu naomba kujua kama chuo cha Mzumbe kinapokea diploma holders katika Shahada za Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (Political Science and Public Administration (PSPA)), na Sheria (Law) kwa mwaka wa masomo 2017/18.
Mzumbe hawana PSPA lakini wana offer Public Administration.
 
Dogo hiyo PSPA unaitafuta kwa ajili ya nini?ACHANA NAYO ushauri wangu kwako
 
Kama llb, public adminstration(not pspa)
 
Asante kwa ushauri mkuu. Ndio maana hapo juu kwenye uzi LLB nimeiweka, nikiwa na alternative mbili. Nimesoma diploma ya PA hivyo PSPA niliihitaji nikijua itaniongezea kitu fulani katika PA yangu na kunifanya competent zaidi. Ila kama inazingua basi, lengo langu kuu ni PA. Japo hujanieleza ubaya wake ni upi...
Kama llb, public adminstration(not pspa)
 
Asante kwa ushauri mkuu. Ndio maana hapo juu kwenye uzi LLB nimeiweka, nikiwa na alternative mbili. On mesoma diploma ya PA hivyo PSPA niliihitaji nikijua itaniongezea kitu fulani katika PA yangu na kunifanya competent zaidi. Ila kama inazingua basi, lengo langu kuu ni PA. Japo hujanieleza ubaya wake ni upi...

Ubaya wa political science kwa TZ hamna implication that's all, mimi muajiri nikimhitaji mtu wa PA ukaja wewe wa PSPA na PA unadhani nitachagua yupi?maana hata masomo mnashare machache, watu wa HR na PA wanashare masomo mengi kuliko mtu wa PSPA na PA
 
Asante sana mkuu nimekupata
 
Sawa, sasa ukiniona huku jf uwe unanisalimia mdogo wangu maana mimi ni kaka yako nimekupita 16years hivi kwa calculations za haraka haraka
Hahahah umecalculate vipi bila hata kuwa na details zangu?
 
Sawa, sasa ukiniona huku jf uwe unanisalimia mdogo wangu maana mimi ni kaka yako nimekupita 16years hivi kwa calculations za haraka haraka

Sasa kama una diploma si hesabu ziko open kabisa mdogo wako
 
Asante kwa ushauri mkuu. Ndio maana hapo juu kwenye uzi LLB nimeiweka, nikiwa na alternative mbili. On mesoma diploma ya PA hivyo PSPA niliihitaji nikijua itaniongezea kitu fulani katika PA yangu na kunifanya competent zaidi. Ila kama inazingua basi, lengo langu kuu ni PA. Japo hujanieleza ubaya wake ni upi...
nenda ud ukakutane na mbabe wa kimataifa prof mohabe nyirabu
 
Ubaya wa political science kwa TZ hamna implication that's all, mimi muajiri nikimhitaji mtu wa PA ukaja wewe wa PSPA na PA unadhani nitachagua yupi?maana hata masomo mnashare machache, watu wa HR na PA wanashare masomo mengi kuliko mtu wa PSPA na PA
wacha uongo mzee
 
kaka mzumbe ndiyo inaongoza kwa kuchukua diploma holders wao wanataka D 4 tu o*level omba hapo mkuu utapata.
 
Back
Top Bottom