Ps5/Ps4 Digital Games Installation

Ps5/Ps4 Digital Games Installation

Wananunua Account za wizi online ama hata inaweza isiwe cracked ila ni shared. unawekewa kwenye machine yako, wana download zile games ambazo zipo kwenye Account, then unaenda offline ama unaweza ukakaa online na kuomba Mungu usidakwe.

Kama una hela kidogo mara Mia utafute magumashi tu ya kupata ps+ account ambayo ni deluxe unapata games nyingi bure. Kuna watu wanakucharge hela nyingi kidogo ila unatumia email yako mwenyewe.
 
Wananunulia wapi hizo account za wizi?
 
hii ina tofauti gani na kununua CD au any other form of storage kama flash yenye hizo games
 
CD labda ununue OG ambayo itaku cost laki na kitu, games za ps4/5 ni ghali watu wana share hizo account kupunguza makali ya hizo games.
 
Back
Top Bottom