PS4, TV na MEZA

PS4, TV na MEZA

Kitox

Member
Joined
Aug 28, 2019
Posts
31
Reaction score
22
Nauza PS4 CONSOLES mbili, makochi mawili na TV aina ya ONLING inch 32

Habari wakuu...kutokana na mambo kuwa mengi, na hivyo nimeshindwa kusimamia biashara ya PLAY STATION, nauza vitu hivyo kama vilivyotajwa.

MUHIMU:-Vitu vyote havina muda sana, kwani vilinunuliwa/kutengenezwa mwaka jana mwezi wa saba.

Bei ni nafuu, kwa mwenye uhitaji na aliye serious naomba tuwasiliane PM.
IMG-20220213-WA0005.jpeg
IMG-20220213-WA0007.jpeg
IMG-20220213-WA0003.jpeg
 
Weka wazi biashara yako mkuu, usiite watu pm, siyo kuzuri huko mwaisa!!
 
Back
Top Bottom