PS4, TV na MEZA

PS4, TV na MEZA

Nauza PS4 CONSOLES mbili, makochi mawili na TV aina ya ONLING inch 32

Habari wakuu...kutokana na mambo kuwa mengi, na hivyo nimeshindwa kusimamia biashara ya PLAY STATION, nauza vitu hivyo kama vilivyotajwa.

MUHIMU:-Vitu vyote havina muda sana, kwani vilinunuliwa/kutengenezwa mwaka jana mwezi wa saba.

Bei ni nafuu, kwa mwenye uhitaji na aliye serious naomba tuwasiliane PM. View attachment 2123954View attachment 2123955View attachment 2123957
kula 1 milion vyote
 
Back
Top Bottom