wadau Nina ps3 hapa nimeboreka na CD nlizonazo natafta njia ya kuifanya ps3 yangu iweze kucheza pirated games iwe kwa disc za kuburn au hata USB, nawasilidha hoja ...... .
Kwanza angalia model ya Ps3 yako nyuma ya console au chini itakuwa kama cechAxx,Bxx,Gxx,..
Nakushauri utafute E3 Flasher udowngrade to 3.55 OFW(Original Firmware)