Ps3 iko sokoni.

PS3 ata siku moja haina 4gb of ram halafu hakuna mtu anakujibu all this time......ahhh disgrace!

Anyways PS3 humuuzii mtu apa kwa laki 8 soo sorry bro rabda laki 6 na bado wateja haupati apa jamii forums no ones interested in buying.....
 
Watu wengi waliziuza kwa laki 3 hapa janvini.. tena ni mwaka jana.. laki 8 "umeua sana...!"
 
Ila wa2 punguzeni viherehere !! Sasa mwenzanko anafanya biashara unaanza kuwasemea wateja wake !! Kama ww hununui acha post ikaee !! Sema sihitaji na si kuwasemea wenzanko !! Aaaah..mchawi si kuwanga tu !! Hata huu mmnaoufanya ni uchawi !! Acheni Rizki za wa2

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
did u swap the hard drive maana mi najua ps3 mwisho no 320gb. and its 512mb of ram
 
Back
Top Bottom