wakuu mnaweza nicheck kwa email:emmanuelmvunye@yahoo.com, pia unaweza suggest collection yako nitacheck bei ,usafiri na ushuru then nitakujulisha,mi napatikana dar,maeneo y kawe nina goili la playstation 3,hizo blue ray dvd za game ninazo na nina connection ya kuagiza mpya anytime,pia ukihitaji ps3 console, fat model ni 450000 na silm model 70000