PS 3 inauzwa na I pad 3 bei sawa na bure

bwana kama kweli unahitaji kuuza andika hapa,dah wabongo hata matangazo ya biashara hatuwezi,hii aibu
 
janja pori, usilete ujanja wa porini kwenye biashara za mujini kwa kutaka kuwauzia watu mbuzi kwenye gunia!.

Taja specifications, taja originating source, UK, US, Dubai etc, taja use duration, vimetumika muda gani, taja condition, vina hali gani na mwisho taja bei!.
 
humu JF msiwe na tabia za ukingwenduuu kama una shida u pm mbona si una comment to backoff
 
tatizo humu JF watu ukiweka bei wanajaza matusi hawana nia y kununua so,mtu akiku pm unajua yupo seriouz

haya PS 3 ni gb 60 NYEUSI na pad zake sony Calfornia

na tablet ya ACER mpya Iconia A 200 laki 7 ina box ni android 16 gb
 
Thanks,
I'm a serious buyer, nakupa days mpaka next Friday kama haujauza nitakupm na kukupa my offer,
 
tatizo humu JF watu ukiweka bei wanajaza matusi hawana nia y kununua so,mtu akiku pm unajua yupo seriouz

haya PS 3 ni gb 60 NYEUSI na pad zake sony Calfornia

na tablet ya ACER mpya Iconia A 200 laki 7 ina box ni android 16 gb

Ah, Acer Iconia kwa laki 7? Hapo kwa nanii si zimejaa anauza laki tatu! Tehe... (kidding)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom